Shia na Taqiya: Majibu na Maelezo

Front Cover
Ahlul Bayt Centre, 2003 M01 1 - 61 pages

Taqiya ni ruhusa (si amri) ambayo Waislamu wamepawa na Mwenyezi Mungu na Mtume Wake s.a.w.w. kuitumia wanapokabiliwa na tisho la kupoteza roho zao au mali yao.

Ruhusa hii imetumiwa na Waisiamu wa madhihabi mbali mbali katika historia, kama inavyoonyeshwa humu.

Lakini wanaoshambuliwa kwa matumizi ya ruhusa hii ni mashia peke yao pamoja na kuifanya sawa na unafiki! Kwa nini?

Katika kitabu hiki, Sheikh Abdilahi Nassir anaijibu suali hiyo kwa kuyaeleza mateso yaliyowapata mashia katika historia, na hadi hii leo. Pia amesahihisha zile fikra za makosa zinazoenezwa dhidi ya mashia kukhusu ruhusa hiyo.

 

Bibliographic information