Vituko dunianiLongman, 1970 - 43 pages |
From inside the book
Results 1-3 of 7
Page 4
... yale yale aliyoyatumia yule mtu aliyepiga simu wakati wa kutoa taarifa ya kifo cha Yusufu . Kachero huyo akaanza kuzungukwa na kichwa , akajuta kwa nini aliingia kazi ile ya ukachero lakini kwakuwa alikuwa na ari na moyo thabiti katika ...

Page 34
... yale yale , kila walipoonana walikumbatiana kwa maana walipendana sana na hata mmoja wao alipokuwa hayupo mwenzake alilia na kuhuzunika kwa matilaba ya kuja kumwonyesha mwenziwe jinsi ya masikitiko yake . Busu za moto moto zilifuata ...

Page 36
... yale mashtaka akajibu , “ Wahashamu , wazee wangu , nimemshtaki huyu bwana kwa kuwa nina uhakika kwamba yeye amekusudia kuja kuninyang'anya yule mpenzi wangu ninayekaa naye halafu anifukuzie mbali . " Mnazi- majini aliketi kimya tu ...

Contents
Mbio za Sakafuni | 1 |
Mwana Hamrithi Babaye | 12 |
Kisimba Shujaa | 23 |
Copyright | |
1 other sections not shown
Other editions - View all
Common terms and phrases
Afrika ya Mashariki Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona heri akasema akasikia alianza aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye atakuwa baba bahati bali barazani barua bastola Bi mkongwe biashara chache chochote dada dereva fisi gari ghafla giza hakujali halafu haraka Hekaya huku ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho jembamba Jinamizi jinsi jitokeze John joka Nondo Joyce Jumamosi Kamene kamwe kijana kikutani kile kikuta Kioko kisha Kisimba Korogwe kuanza kufikiri kuingia ndani kumweleza kwakuwa kwenda Kyalo lile Longman macho magaidi maiti makachero Makevo mali mara mbele Mbeya mbio mchumba mfalme wa Wanyakyusa mganga mikono mjini mkongwe mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini motokaa moyoni mwake mpenzi mpenziwe mradi msichana mtoto mtungi Mwana hamrithi babaye Mwanza Naam Nairobi naye Nondo nyumbani kwao P.O. Box pombe Pongwe punde radi Ruth alikuwa Sadik sauti shujaa starehe tano tatu tetesi tochi upelelezi usiku wageni wala wasi wasi Wayua wazee yoyote Yusufu zake zile