Vituko dunianiLongman, 1970 - 43 pages |
From inside the book
Results 1-3 of 5
Page 12
... wazee na majirani wa pale pao . Alipokuwa na umri wa miaka kumi na tano hivi , Ahmed alisibiwa na maradhi thakili sana . Na ingawa ' Jitihada haiondoi kudura ' , kila dawa iliyojaribiwa kwa maradhi hayo haikuleta nafuu ya kutosha ...

Page 14
... wazee wake . Waliingiwa na wasi wasi mkubwa juu ya mtoto wao na hatimaye wakamshukuru Mola na kuketi kitako na kukata shauri kwamba mtoto wao amefia baharini ! Kijana yule alifurahishwa sana na maisha yake mapya pale Mtongwe . Starehe ...

Page 36
... wazee kumshtaki Mnazimajini . Mashtaka yalipofika mbele ya wazee , Jinamizi aliulizwa juu ya yale mashtaka akajibu , “ Wahashamu , wazee wangu , nimemshtaki huyu bwana kwa kuwa nina uhakika kwamba yeye amekusudia kuja kuninyang'anya ...

Contents
Mbio za Sakafuni | 1 |
Mwana Hamrithi Babaye | 12 |
Kisimba Shujaa | 23 |
Copyright | |
1 other sections not shown
Other editions - View all
Common terms and phrases
Afrika ya Mashariki Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona heri akasema akasikia alianza aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye atakuwa baba bahati bali barazani barua bastola Bi mkongwe biashara chache chochote dada dereva fisi gari ghafla giza hakujali halafu haraka Hekaya huku ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho jembamba Jinamizi jinsi jitokeze John joka Nondo Joyce Jumamosi Kamene kamwe kijana kikutani kile kikuta Kioko kisha Kisimba Korogwe kuanza kufikiri kuingia ndani kumweleza kwakuwa kwenda Kyalo lile Longman macho magaidi maiti makachero Makevo mali mara mbele Mbeya mbio mchumba mfalme wa Wanyakyusa mganga mikono mjini mkongwe mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini motokaa moyoni mwake mpenzi mpenziwe mradi msichana mtoto mtungi Mwana hamrithi babaye Mwanza Naam Nairobi naye Nondo nyumbani kwao P.O. Box pombe Pongwe punde radi Ruth alikuwa Sadik sauti shujaa starehe tano tatu tetesi tochi upelelezi usiku wageni wala wasi wasi Wayua wazee yoyote Yusufu zake zile