Vituko dunianiLongman, 1970 - 43 pages |
From inside the book
Results 1-3 of 6
Page 5
... wawili wauawe . " Alipoangalia saa na kuona kwamba wale askari wengine wako karibu kufika pale nyumbani , aliupiga mlango teke na kuwaa- muru wale magaidi kwa ukali , “ Simameni na muinue mikono yenu juu ! ” Wale magaidi wakashtuka sana ...

Page 9
... wawili na Kamene alikuwa atakuwa wa tatu . Kwa unyonge na udhaifu Kamene akaa- mkiana na yule bwana . Sura zilikuwa zimembadilika , machozi yakimle- ngalenga . Baada ya kuamkiana naye , Baba yake akamwamuru kutoka nje na kwenda ...

Page 37
... wawili . Pia hakukosa kumtimizia bintiye mahitaji yote yaliyohusu elimu maana alijua kwamba yeye ndiye atakaye watunza nduguze baada ya mama yake kufariki . Binti huyo alizingatia masomo yake sawa hata akafaulu kwenda katika shule za ...

Contents
Mbio za Sakafuni | 1 |
Mwana Hamrithi Babaye | 12 |
Kisimba Shujaa | 23 |
Copyright | |
1 other sections not shown
Other editions - View all
Common terms and phrases
Afrika ya Mashariki Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona heri akasema akasikia alianza aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye atakuwa baba bahati bali barazani barua bastola Bi mkongwe biashara chache chochote dada dereva fisi gari ghafla giza hakujali halafu haraka Hekaya huku ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho jembamba Jinamizi jinsi jitokeze John joka Nondo Joyce Jumamosi Kamene kamwe kijana kikutani kile kikuta Kioko kisha Kisimba Korogwe kuanza kufikiri kuingia ndani kumweleza kwakuwa kwenda Kyalo lile Longman macho magaidi maiti makachero Makevo mali mara mbele Mbeya mbio mchumba mfalme wa Wanyakyusa mganga mikono mjini mkongwe mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini motokaa moyoni mwake mpenzi mpenziwe mradi msichana mtoto mtungi Mwana hamrithi babaye Mwanza Naam Nairobi naye Nondo nyumbani kwao P.O. Box pombe Pongwe punde radi Ruth alikuwa Sadik sauti shujaa starehe tano tatu tetesi tochi upelelezi usiku wageni wala wasi wasi Wayua wazee yoyote Yusufu zake zile