Vituko dunianiLongman, 1970 - 43 pages |
From inside the book
Results 1-3 of 3
Page 19
... tochi , sikutaka kuiwasha . Naliingia ndani kwa giza , nikipapasa papasa njia kwa mikono na miguu kuelekea kwenye mlango wa nyumba . Nalipoufikia , ulikuwa wazi ! Nikatia mkono wangu mfukoni na kutoa tochi yangu tayari . Moyo wangu ...

Page 20
... tochi yangu nikaiweka tayari mkononi ; nikakaa kwa mguu mmoja nikitazama upande wa mlango . Yote haya hayakuchukua zaidi ya dakika mbili , tatu hivi . Nalipokuwa hali hii , naliyasikia mawimbi jinsi yalivyokuwa yakichafuka nje. 20.

Page 21
... tochi yangu lakini nikajionya nisifanye jambo hilo . Mara nikajitia ushujaa wa kutoa sauti na kuuliza , " Wewe ni nani ? " Kwa haraka nikajibiwa , “ Na wewe ni nani ? ” Pasi na kusita sita nikajibu , “ Mimi ni binadamu . " Na nikajibiwa ...

Contents
Mbio za Sakafuni | 1 |
Mwana Hamrithi Babaye | 12 |
Kisimba Shujaa | 23 |
Copyright | |
1 other sections not shown
Other editions - View all
Common terms and phrases
Afrika ya Mashariki Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona heri akasema akasikia alianza aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye atakuwa baba bahati bali barazani barua bastola Bi mkongwe biashara chache chochote dada dereva fisi gari ghafla giza hakujali halafu haraka Hekaya huku ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho jembamba Jinamizi jinsi jitokeze John joka Nondo Joyce Jumamosi Kamene kamwe kijana kikutani kile kikuta Kioko kisha Kisimba Korogwe kuanza kufikiri kuingia ndani kumweleza kwakuwa kwenda Kyalo lile Longman macho magaidi maiti makachero Makevo mali mara mbele Mbeya mbio mchumba mfalme wa Wanyakyusa mganga mikono mjini mkongwe mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini motokaa moyoni mwake mpenzi mpenziwe mradi msichana mtoto mtungi Mwana hamrithi babaye Mwanza Naam Nairobi naye Nondo nyumbani kwao P.O. Box pombe Pongwe punde radi Ruth alikuwa Sadik sauti shujaa starehe tano tatu tetesi tochi upelelezi usiku wageni wala wasi wasi Wayua wazee yoyote Yusufu zake zile