Vituko dunianiLongman, 1970 - 43 pages |
From inside the book
Results 1-3 of 5
Page 18
... taabu ya kuingia ndani kwakuwa mlango wake ulifungwa kwa kamba na kuchomekwa kijiti mlangoni . Nikaufungua na nilipoangalia mbele yangu nikauona mlango wa nyuma uliokuwa na kufuli ya kubana . Bahati njema , chini kulikuwa na msumari ...

Page 25
... taabu nyingi na kwamba masharti yake yalikuwa magumu pia . Mojawapo ya masharti hayo ilikuwa kwamba kila mwana wa kwanza katika ukoo lazima auawe na kutolewa sadaka . Ili mradi watu wa nchi ile walikuwa mashakani ; mchana na usiku ...

Page 43
taabu kesho . " Ruth akakubali . Yule mhuni akashukuru moyoni mwake na kusema , " Huyu dada anaonyesha ana chochote kichwani mwake , hawa ndiyo wale D.K. ( Donge Kubwa ) -anaweza kunisitiri huyu . " Walipofika sinema , Ruth akamwomba ...

Contents
Mbio za Sakafuni | 1 |
Mwana Hamrithi Babaye | 12 |
Kisimba Shujaa | 23 |
Copyright | |
1 other sections not shown
Other editions - View all
Common terms and phrases
Afrika ya Mashariki Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona heri akasema akasikia alianza aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye atakuwa baba bahati bali barazani barua bastola Bi mkongwe biashara chache chochote dada dereva fisi gari ghafla giza hakujali halafu haraka Hekaya huku ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho jembamba Jinamizi jinsi jitokeze John joka Nondo Joyce Jumamosi Kamene kamwe kijana kikutani kile kikuta Kioko kisha Kisimba Korogwe kuanza kufikiri kuingia ndani kumweleza kwakuwa kwenda Kyalo lile Longman macho magaidi maiti makachero Makevo mali mara mbele Mbeya mbio mchumba mfalme wa Wanyakyusa mganga mikono mjini mkongwe mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini motokaa moyoni mwake mpenzi mpenziwe mradi msichana mtoto mtungi Mwana hamrithi babaye Mwanza Naam Nairobi naye Nondo nyumbani kwao P.O. Box pombe Pongwe punde radi Ruth alikuwa Sadik sauti shujaa starehe tano tatu tetesi tochi upelelezi usiku wageni wala wasi wasi Wayua wazee yoyote Yusufu zake zile