From inside the book
Results 1-3 of 6
Page 4
Alipokuwa akinywa , aliangalia pembeni na kuwaona watu wanne wameketi kimya wakinywa pombe vile vile . Alipoziangalia nyuso zao akaona kuwa zilikuwa ni nyuso zilizokuwa zimejaa wasi wasi , macho yao yalikuwa yanakupia kupia saa zote nao ...

Page 9
Baada ya kuamkiana naye , Baba yake akamwamuru kutoka nje na kwenda kuwaletea wageni pombe ili wajiburudishe kwakuwa yule bwana alikuwa amekwisha mpenda Kamene na wale wageni wengine wote waliokuwapo pale walitikisa vichwa vyao ...

Page 10
Naam , ilikuwa sharti ajiokoe nafsi yake katika janga la kuolewa na mtu mwingine yeyote ila Kioko tu — tena lazima afanye jambo lolote kwa haraka kabisa maana nyumbani matayarisho yalikuwa yamechacha na wale wageni wakiisha kunywa pombe ...

What people are saying - Write a review
We haven't found any reviews in the usual places.
Other editions - View all
Common terms and phrases
Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona akawa akiwa alianza alikuwa aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye askari asubuhi atakuwa baba bado bahati bali barazani barua biashara binti chache dada dereva fisi gari ghafla giza halafu haraka heri hofu huku huyo huyu ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho Jinamizi jinsi John joka Nondo kabla Kamene kamwe karibu kiasi kijana kikuta kile kimya Kioko kisha Kisimba kuanza kuelekea kufikiri kuingia kumi kumwoa kuona kupiga kusikia kwakuwa kwani kwenda lile Longman macho magaidi maisha mali mama mara mbele mbio mfalme mganga mikono mjini mkongwe mkubwa mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini moyo moyoni mpenzi msichana mtoto mwake Mwana mwenye mwenyewe mwingine mwisho Naam Nairobi naye ndani ndipo ndiye nguvu Nondo nyuma nyumbani pale pombe Pongwe punde Ruth Sadik safari sauti tangu tayari upande upelelezi usiku wageni wala wangu wasi wasi wawili Wayua wazee wewe yale yoyote Yusufu zake