Vituko dunianiLongman, 1970 - 43 pages |
From inside the book
Results 1-3 of 16
Page 18
... Moyo wangu ukataharaki na kuona kwamba ile mimea ilikuwa ikini- karibisha kwenye mauti lakini nikapuuza wasi wasi huu na nikatupa macho mahali palipokuwa na kidirisha kidogo . Nikaenda mahali hapo na kupanda juu ili kuangalia upande wa ...

Page 19
... Moyo wangu ukaanza kunidunda na kiwiliwili changu kikahisi baridi . Nalipotanabahi nalifikiri wazi kwamba ikiwa mambo haya ni kweli , viumbe hivi vya miujiza ni hiari yao leo kuni- dhuru au kunihurumia . Lakini nalijikaza kisabuni mpaka ...

Page 28
... moyo wangu ukawa unapiga upesi upesi . Nikawa najiweka tayari kwa wakati wangu wa mwisho uliokuwa ukija haraka kabisa . Mara mawazo yalinijia ghafla nikaanza kufikiri , “ Kwa nini nife kijinga , kwa nini nife kwa njaa bila ya kujaribu ...

Contents
Mbio za Sakafuni | 1 |
Mwana Hamrithi Babaye | 12 |
Kisimba Shujaa | 23 |
Copyright | |
1 other sections not shown
Other editions - View all
Common terms and phrases
Afrika ya Mashariki Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona heri akasema akasikia alianza aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye atakuwa baba bahati bali barazani barua bastola Bi mkongwe biashara chache chochote dada dereva fisi gari ghafla giza hakujali halafu haraka Hekaya huku ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho jembamba Jinamizi jinsi jitokeze John joka Nondo Joyce Jumamosi Kamene kamwe kijana kikutani kile kikuta Kioko kisha Kisimba Korogwe kuanza kufikiri kuingia ndani kumweleza kwakuwa kwenda Kyalo lile Longman macho magaidi maiti makachero Makevo mali mara mbele Mbeya mbio mchumba mfalme wa Wanyakyusa mganga mikono mjini mkongwe mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini motokaa moyoni mwake mpenzi mpenziwe mradi msichana mtoto mtungi Mwana hamrithi babaye Mwanza Naam Nairobi naye Nondo nyumbani kwao P.O. Box pombe Pongwe punde radi Ruth alikuwa Sadik sauti shujaa starehe tano tatu tetesi tochi upelelezi usiku wageni wala wasi wasi Wayua wazee yoyote Yusufu zake zile