Vituko dunianiLongman, 1970 - 43 pages |
From inside the book
Results 1-3 of 5
Page 4
... motokaa yake na kuwafuata bila wao kujua kwamba walikuwa wakifuatwa . Alipokuwa akiwafuata , Inspekta Kapera aliwaza kwamba ni lazima amweleze Koplo Makevo kwa simu ili amfuate pamoja na askari wengi wenye silaha . Basi alipitia katika ...

Page 5
... motokaa ya wale magaidi . Basi , aliisimamisha motokaa yake pembeni kidogo mahali ambapo askari watakaokuja wataweza kuiona kwa upesi na kufuata ishara zake , halafu akashika njia kwenda kwenye ile nyumba . Alipofika kwenye nyumba ...

Page 10
... motokaa ya kubebea wagonjwa iletwe . Ilipofika na kumchukua yule mzee , hakuwahi kufika hospitali , alikata roho njiani . Kwa zaa zaa iliyokuwako , Kamene akaingiwa na wasi wasi mkubwa uliokuwa umechanganyika na huzuni ya kumpoteza baba ...

Contents
Mbio za Sakafuni | 1 |
Mwana Hamrithi Babaye | 12 |
Kisimba Shujaa | 23 |
Copyright | |
1 other sections not shown
Other editions - View all
Common terms and phrases
Afrika ya Mashariki Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona heri akasema akasikia alianza aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye atakuwa baba bahati bali barazani barua bastola Bi mkongwe biashara chache chochote dada dereva fisi gari ghafla giza hakujali halafu haraka Hekaya huku ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho jembamba Jinamizi jinsi jitokeze John joka Nondo Joyce Jumamosi Kamene kamwe kijana kikutani kile kikuta Kioko kisha Kisimba Korogwe kuanza kufikiri kuingia ndani kumweleza kwakuwa kwenda Kyalo lile Longman macho magaidi maiti makachero Makevo mali mara mbele Mbeya mbio mchumba mfalme wa Wanyakyusa mganga mikono mjini mkongwe mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini motokaa moyoni mwake mpenzi mpenziwe mradi msichana mtoto mtungi Mwana hamrithi babaye Mwanza Naam Nairobi naye Nondo nyumbani kwao P.O. Box pombe Pongwe punde radi Ruth alikuwa Sadik sauti shujaa starehe tano tatu tetesi tochi upelelezi usiku wageni wala wasi wasi Wayua wazee yoyote Yusufu zake zile