Vituko dunianiLongman, 1970 - 43 pages |
From inside the book
Results 1-3 of 7
Page 12
... mganga wa Kisomali , Sadik , ambaye alikuja Pongwe kwa musimu wa biashara . Akaelezwa kwa urefu hali ya Ahmed ambaye hivi sasa alidhofu sana . Sadik alikubali kuingia kilingeni na kuanza kazi yake . Ilikuwa miujiza kwa wazee waliokwisha ...

Page 17
... mganga mmoja aliyekuwa akisifika sana pale mjini . Yule mganga alipofika na kupiga ramli yake aliona kwamba ile hirizi ni lazima irudishwe pale pale penye kile kikuta na kikuta lazima kijengwe tena . Basi aliwaamuru wale mafundi kufanya ...

Page 32
... mganga aliyeishi mjini mle mle aliyeitwa Mnazimajini ambaye ada yake haikuwa kuagua mpaka aombwe kufanya hivyo . Jinamizi alitoka na kwenda kwa yule mganga ; alipofika kwake , alimweleza yote yaliyokuwa yakimkereketa moyoni . Baada ya ...

Contents
Mbio za Sakafuni | 1 |
Mwana Hamrithi Babaye | 12 |
Kisimba Shujaa | 23 |
Copyright | |
1 other sections not shown
Other editions - View all
Common terms and phrases
Afrika ya Mashariki Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona heri akasema akasikia alianza aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye atakuwa baba bahati bali barazani barua bastola Bi mkongwe biashara chache chochote dada dereva fisi gari ghafla giza hakujali halafu haraka Hekaya huku ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho jembamba Jinamizi jinsi jitokeze John joka Nondo Joyce Jumamosi Kamene kamwe kijana kikutani kile kikuta Kioko kisha Kisimba Korogwe kuanza kufikiri kuingia ndani kumweleza kwakuwa kwenda Kyalo lile Longman macho magaidi maiti makachero Makevo mali mara mbele Mbeya mbio mchumba mfalme wa Wanyakyusa mganga mikono mjini mkongwe mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini motokaa moyoni mwake mpenzi mpenziwe mradi msichana mtoto mtungi Mwana hamrithi babaye Mwanza Naam Nairobi naye Nondo nyumbani kwao P.O. Box pombe Pongwe punde radi Ruth alikuwa Sadik sauti shujaa starehe tano tatu tetesi tochi upelelezi usiku wageni wala wasi wasi Wayua wazee yoyote Yusufu zake zile