From inside the book
Results 1-3 of 8
Page 8
Alipokuwa akiwaza hivi mara akakumbuka maneno aliyoambiwa na mama yake siku moja , “ Mwanangu Kamene , Kitonga ni mtu anayeheshimiwa sana . Ana mali na wake wengi . ” Mama hakummalizia yaliyokuwamo moyoni mwake ingawa nia yake hasa ...

Page 9
ijapokuwa utengano baina ya mama na bintiye si jambo rahisi na si la kufurahisha . Mama yake aliendelea kusema , “ Wee mwanangu una bahati sana , una baba mwenye hekima , anayejiweza na pia anayekutafutia mtu mwenye nafasi akuoe maana ...

Page 34
Kwa mintarafu ya Rahimu atakuwa na uwezo wa kuwafanya watu wote wawe sawa , wapendane kama mama awapendavyo watoto wake . Atawafanya watu wawe na moyo wa juhudi kwa kuhimiza ardhi ya nchi yao kunufaika na kuwa na ufanisi .

What people are saying - Write a review
We haven't found any reviews in the usual places.
Other editions - View all
Common terms and phrases
Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona akawa akiwa alianza alikuwa aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye askari asubuhi atakuwa baba bado bahati bali barazani barua biashara binti chache dada dereva fisi gari ghafla giza halafu haraka heri hofu huku huyo huyu ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho Jinamizi jinsi John joka Nondo kabla Kamene kamwe karibu kiasi kijana kikuta kile kimya Kioko kisha Kisimba kuanza kuelekea kufikiri kuingia kumi kumwoa kuona kupiga kusikia kwakuwa kwani kwenda lile Longman macho magaidi maisha mali mama mara mbele mbio mfalme mganga mikono mjini mkongwe mkubwa mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini moyo moyoni mpenzi msichana mtoto mwake Mwana mwenye mwenyewe mwingine mwisho Naam Nairobi naye ndani ndipo ndiye nguvu Nondo nyuma nyumbani pale pombe Pongwe punde Ruth Sadik safari sauti tangu tayari upande upelelezi usiku wageni wala wangu wasi wasi wawili Wayua wazee wewe yale yoyote Yusufu zake