Vituko dunianiLongman, 1970 - 43 pages |
From inside the book
Results 1-3 of 10
Page 8
... mali na wake wengi . " Mama hakummalizia yaliyokuwamo moyoni mwake ingawa nia yake hasa angalifurahi kuona kwamba binti yake ameolewa na mtu wa heshima na mali nyingi kama huyo ijapokuwa utengano baina ya mama na bintiye si jambo rahisi 8.

Page 33
... hospitali yake kubwa na kwa minajili ya dawa zake hapatatokea kifo cha ugonjwa ila cha ajali tu . Mtoto wa pili atakuwa mkubwa wa wakwasi wote nchini . Atakuja kuwanyang'anya nusu ya mali zao na kuwagawia maskini ili mali hayo. 33.

Page 34
nusu ya mali zao na kuwagawia maskini ili mali hayo yawe ya taifa . Kwa mintarafu ya Rahimu atakuwa na uwezo wa kuwafanya watu wote wawe sawa , wapendane kama mama awapendavyo watoto wake . Atawafanya watu wawe na moyo wa juhudi kwa ...

Contents
Mbio za Sakafuni | 1 |
Mwana Hamrithi Babaye | 12 |
Kisimba Shujaa | 23 |
Copyright | |
1 other sections not shown
Other editions - View all
Common terms and phrases
Afrika ya Mashariki Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona heri akasema akasikia alianza aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye atakuwa baba bahati bali barazani barua bastola Bi mkongwe biashara chache chochote dada dereva fisi gari ghafla giza hakujali halafu haraka Hekaya huku ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho jembamba Jinamizi jinsi jitokeze John joka Nondo Joyce Jumamosi Kamene kamwe kijana kikutani kile kikuta Kioko kisha Kisimba Korogwe kuanza kufikiri kuingia ndani kumweleza kwakuwa kwenda Kyalo lile Longman macho magaidi maiti makachero Makevo mali mara mbele Mbeya mbio mchumba mfalme wa Wanyakyusa mganga mikono mjini mkongwe mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini motokaa moyoni mwake mpenzi mpenziwe mradi msichana mtoto mtungi Mwana hamrithi babaye Mwanza Naam Nairobi naye Nondo nyumbani kwao P.O. Box pombe Pongwe punde radi Ruth alikuwa Sadik sauti shujaa starehe tano tatu tetesi tochi upelelezi usiku wageni wala wasi wasi Wayua wazee yoyote Yusufu zake zile