Vituko dunianiLongman, 1970 - 43 pages |
From inside the book
Results 1-3 of 4
Page 3
... maiti ! Wale magaidi walipoona kwamba Yusufu amefariki , walipiga simu polisi kwa hekima na kutoa taarifa kwamba Yusufu amefariki kwa kupigwa risasi . Askari wa Polisi alipouliza kwamba ni nani aliyekuwa akitoa taarifa hiyo , yule gaidi ...

Page 28
... maiti ya baba yangu mzee Nduli Mkalambati mpaka kukawa jioni bila ya kula wala kunywa . Jua lilitua pole pole na mbalamwezi ukaanza kuchomoza mionzi yake hafifu ikatua juu ya kibanda chetu na kupenya ndani kupitia mlangoni ; nikaweza ...

Page 29
... maiti yule yalivyo- nikodolea , nikashtuka sana , nikaanguka juu yake na kuzimia . Loo ! Maskini ! Nikasikitika sana kwamba nimemla baba yangu mzazi ! Lakini hata hivyo kama alivyonisaidia akiwa hai pia alinisaidia mara ya mwisho akiwa ...

Contents
Mbio za Sakafuni | 1 |
Mwana Hamrithi Babaye | 12 |
Kisimba Shujaa | 23 |
Copyright | |
1 other sections not shown
Other editions - View all
Common terms and phrases
Afrika ya Mashariki Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona heri akasema akasikia alianza aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye atakuwa baba bahati bali barazani barua bastola Bi mkongwe biashara chache chochote dada dereva fisi gari ghafla giza hakujali halafu haraka Hekaya huku ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho jembamba Jinamizi jinsi jitokeze John joka Nondo Joyce Jumamosi Kamene kamwe kijana kikutani kile kikuta Kioko kisha Kisimba Korogwe kuanza kufikiri kuingia ndani kumweleza kwakuwa kwenda Kyalo lile Longman macho magaidi maiti makachero Makevo mali mara mbele Mbeya mbio mchumba mfalme wa Wanyakyusa mganga mikono mjini mkongwe mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini motokaa moyoni mwake mpenzi mpenziwe mradi msichana mtoto mtungi Mwana hamrithi babaye Mwanza Naam Nairobi naye Nondo nyumbani kwao P.O. Box pombe Pongwe punde radi Ruth alikuwa Sadik sauti shujaa starehe tano tatu tetesi tochi upelelezi usiku wageni wala wasi wasi Wayua wazee yoyote Yusufu zake zile