Vituko dunianiLongman, 1970 - 43 pages |
From inside the book
Results 1-3 of 11
Page 1
... kuona watu wamesimama mbele yake , mmojawao akimwelekezea bastola . Yusufu akashtuka sana , moyo ukaanza kumdunda dunda , akili zikamduru ; akawaza , " Hawa watu siwajui nao ni wageni hapa ; kwa nini wananionyesha bastola ? Mali zangu ...

Page 5
... kuona kwamba wale askari wengine wako karibu kufika pale nyumbani , aliupiga mlango teke na kuwaa- muru wale magaidi kwa ukali , “ Simameni na muinue mikono yenu juu ! ” Wale magaidi wakashtuka sana na kusimama huku wakinyanyua mikono ...

Page 19
... kuona . Hata hivyo , baada ya kukaza macho sana nikakiona kile kikuta ! Sijui , pengine nalidhani tu nimekiona , lakini wakati huu ilikuwa ni dhahiri kwamba kilikuwa mbele yangu . Huku nikikiangalia kile kikuta , nalianza kufikiri zile ...

Contents
Mbio za Sakafuni | 1 |
Mwana Hamrithi Babaye | 12 |
Kisimba Shujaa | 23 |
Copyright | |
1 other sections not shown
Other editions - View all
Common terms and phrases
Afrika ya Mashariki Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona heri akasema akasikia alianza aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye atakuwa baba bahati bali barazani barua bastola Bi mkongwe biashara chache chochote dada dereva fisi gari ghafla giza hakujali halafu haraka Hekaya huku ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho jembamba Jinamizi jinsi jitokeze John joka Nondo Joyce Jumamosi Kamene kamwe kijana kikutani kile kikuta Kioko kisha Kisimba Korogwe kuanza kufikiri kuingia ndani kumweleza kwakuwa kwenda Kyalo lile Longman macho magaidi maiti makachero Makevo mali mara mbele Mbeya mbio mchumba mfalme wa Wanyakyusa mganga mikono mjini mkongwe mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini motokaa moyoni mwake mpenzi mpenziwe mradi msichana mtoto mtungi Mwana hamrithi babaye Mwanza Naam Nairobi naye Nondo nyumbani kwao P.O. Box pombe Pongwe punde radi Ruth alikuwa Sadik sauti shujaa starehe tano tatu tetesi tochi upelelezi usiku wageni wala wasi wasi Wayua wazee yoyote Yusufu zake zile