Vituko dunianiLongman, 1970 - 43 pages |
From inside the book
Results 1-3 of 6
Page 5
... kimya ! " Walipotupa macho wakamwona Koplo Makevo pamoja na askari wengi sana wote wakiwa na bunduki tayari . Wakaona kwamba hawakuwa na hila yoyote ila kujitolea tu . Wale magaidi wakaongozwa mpaka korokoroni . Siku ifuatayo ...

Page 16
... kimya pekee na kuanza kuchangamana na watu kwa kila hali . Mwana akampokea babake bila kumkumbuka na kwa kuwa Bwana Ali alikuwa amechoka sana siku ile , alifululiza moja kwa moja kitandani mara tu baada ya kusali usiku . Alipokuwa ...

Page 28
... kimya nikingojea mwisho wangu ambao ulishaanza kukaribia . Nalisikia njaa sana , mwili wangu ulianza kuchoka , mdomo wangu ukawa mkavu , mate yakawa machungu , jasho jembamba likanitoka usoni , moyo wangu ukawa unapiga upesi upesi ...

Contents
Mbio za Sakafuni | 1 |
Mwana Hamrithi Babaye | 12 |
Kisimba Shujaa | 23 |
Copyright | |
1 other sections not shown
Other editions - View all
Common terms and phrases
Afrika ya Mashariki Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona heri akasema akasikia alianza aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye atakuwa baba bahati bali barazani barua bastola Bi mkongwe biashara chache chochote dada dereva fisi gari ghafla giza hakujali halafu haraka Hekaya huku ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho jembamba Jinamizi jinsi jitokeze John joka Nondo Joyce Jumamosi Kamene kamwe kijana kikutani kile kikuta Kioko kisha Kisimba Korogwe kuanza kufikiri kuingia ndani kumweleza kwakuwa kwenda Kyalo lile Longman macho magaidi maiti makachero Makevo mali mara mbele Mbeya mbio mchumba mfalme wa Wanyakyusa mganga mikono mjini mkongwe mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini motokaa moyoni mwake mpenzi mpenziwe mradi msichana mtoto mtungi Mwana hamrithi babaye Mwanza Naam Nairobi naye Nondo nyumbani kwao P.O. Box pombe Pongwe punde radi Ruth alikuwa Sadik sauti shujaa starehe tano tatu tetesi tochi upelelezi usiku wageni wala wasi wasi Wayua wazee yoyote Yusufu zake zile