Vituko dunianiLongman, 1970 - 43 pages |
From inside the book
Results 1-3 of 5
Page 14
... Kijana yule alifurahishwa sana na maisha yake mapya pale Mtongwe . Starehe na anasa za aina mbali mbali zilizochanganyika na mila za kiasili pamoja na ushawishi wa watu kadhaa hazikubadilisha kamwe mwendo na tabia za Ahmed ambaye kwa ...

Page 15
... kijana aliyekuwa tarishi ! Hapo basi , akaelekea ofisini kwake na kuchukua madaraka yake mapya . Alasiri moja tulivu kama ilivyokuwa ada yake , Ahmed alitoka nyumbani na kuelekea upande wa magharibi wa mji huo kiasi cha maili ishirini ...

Page 26
... kijana tu , mioyo yao haikuamini kabisa kuwa alikuwa na uwezo wa namna yoyote juu ya joka Nondo - joka linaloogopwa duniani mwote ! Basi Kisimba alipokwisha sema vile , akalichukua lile chembe la lulu na kulifikicha mkononi mwake na ...

Contents
Mbio za Sakafuni | 1 |
Mwana Hamrithi Babaye | 12 |
Kisimba Shujaa | 23 |
Copyright | |
1 other sections not shown
Other editions - View all
Common terms and phrases
Afrika ya Mashariki Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona heri akasema akasikia alianza aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye atakuwa baba bahati bali barazani barua bastola Bi mkongwe biashara chache chochote dada dereva fisi gari ghafla giza hakujali halafu haraka Hekaya huku ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho jembamba Jinamizi jinsi jitokeze John joka Nondo Joyce Jumamosi Kamene kamwe kijana kikutani kile kikuta Kioko kisha Kisimba Korogwe kuanza kufikiri kuingia ndani kumweleza kwakuwa kwenda Kyalo lile Longman macho magaidi maiti makachero Makevo mali mara mbele Mbeya mbio mchumba mfalme wa Wanyakyusa mganga mikono mjini mkongwe mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini motokaa moyoni mwake mpenzi mpenziwe mradi msichana mtoto mtungi Mwana hamrithi babaye Mwanza Naam Nairobi naye Nondo nyumbani kwao P.O. Box pombe Pongwe punde radi Ruth alikuwa Sadik sauti shujaa starehe tano tatu tetesi tochi upelelezi usiku wageni wala wasi wasi Wayua wazee yoyote Yusufu zake zile