Vituko dunianiLongman, 1970 - 43 pages |
From inside the book
Results 1-3 of 11
Page 5
... karibu kufika pale nyumbani , aliupiga mlango teke na kuwaa- muru wale magaidi kwa ukali , “ Simameni na muinue mikono yenu juu ! ” Wale magaidi wakashtuka sana na kusimama huku wakinyanyua mikono yao juu . Lakini kwakuwa gaidi ni ...

Page 28
... karibu kutapika , nikaacha , nikapumzika kwa muda maana nilikuwa nasikia kama kitu kimekatika nyuma ya masikio chini ya kisogo . Kichwani mwangu mkawa na kelele kama za filimbi , moyo ukatulia kimya . Nadhani sasa nilikwisha rudishiwa ...

Page 31
... karibu na figo , nikajifunga matambara kuuzunguka mgongo wangu wote na kisha nikaifunga simi yangu na kuacha mpini wake utokeze kidogo karibu na mkono wangu wa kuume . Nikatoka mle nyumbani , nikafunga mlango vizuri kisha nikajitupa ...

Contents
Mbio za Sakafuni | 1 |
Mwana Hamrithi Babaye | 12 |
Kisimba Shujaa | 23 |
Copyright | |
1 other sections not shown
Other editions - View all
Common terms and phrases
Afrika ya Mashariki Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona heri akasema akasikia alianza aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye atakuwa baba bahati bali barazani barua bastola Bi mkongwe biashara chache chochote dada dereva fisi gari ghafla giza hakujali halafu haraka Hekaya huku ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho jembamba Jinamizi jinsi jitokeze John joka Nondo Joyce Jumamosi Kamene kamwe kijana kikutani kile kikuta Kioko kisha Kisimba Korogwe kuanza kufikiri kuingia ndani kumweleza kwakuwa kwenda Kyalo lile Longman macho magaidi maiti makachero Makevo mali mara mbele Mbeya mbio mchumba mfalme wa Wanyakyusa mganga mikono mjini mkongwe mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini motokaa moyoni mwake mpenzi mpenziwe mradi msichana mtoto mtungi Mwana hamrithi babaye Mwanza Naam Nairobi naye Nondo nyumbani kwao P.O. Box pombe Pongwe punde radi Ruth alikuwa Sadik sauti shujaa starehe tano tatu tetesi tochi upelelezi usiku wageni wala wasi wasi Wayua wazee yoyote Yusufu zake zile