Vituko dunianiLongman, 1970 - 43 pages |
From inside the book
Results 1-3 of 6
Page 3
... kamwe . Ilipofika saa nne za usiku , Inspekta Kapera alitoka kwenda msalani . Alipokuwa akienda , mara akashtukia amepigwa konde moja shingoni na hakuweza kusimama bali alianguka chini na alipotaka kuinuka , akachapwa bakora ya bega ...

Page 26
... kamwe . " Kisimba aliposikia hivyo alikubali na kumwambia , “ Tafadhali , kesho piga mbiu ya mgambo , waite watu wote barazani pako nami nitamwita joka Nondo mbele yao wote ili kwanza wamwone na halafu wasikie ahadi zake kwamba hatawaa ...

Page 27
... kamwe nchi yao bali nataka uwaletee rutuba na neema nchini mwao mwote na wala wasikutolee sadaka kamwe tangu leo hata milele . Fanya hivyo kwa hisani iliyopo baina yangu nawe . 99 Kwakuwa joka Nondo alishamwahidi Kisimba kwamba atam ...

Contents
Mbio za Sakafuni | 1 |
Mwana Hamrithi Babaye | 12 |
Kisimba Shujaa | 23 |
Copyright | |
1 other sections not shown
Other editions - View all
Common terms and phrases
Afrika ya Mashariki Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona heri akasema akasikia alianza aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye atakuwa baba bahati bali barazani barua bastola Bi mkongwe biashara chache chochote dada dereva fisi gari ghafla giza hakujali halafu haraka Hekaya huku ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho jembamba Jinamizi jinsi jitokeze John joka Nondo Joyce Jumamosi Kamene kamwe kijana kikutani kile kikuta Kioko kisha Kisimba Korogwe kuanza kufikiri kuingia ndani kumweleza kwakuwa kwenda Kyalo lile Longman macho magaidi maiti makachero Makevo mali mara mbele Mbeya mbio mchumba mfalme wa Wanyakyusa mganga mikono mjini mkongwe mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini motokaa moyoni mwake mpenzi mpenziwe mradi msichana mtoto mtungi Mwana hamrithi babaye Mwanza Naam Nairobi naye Nondo nyumbani kwao P.O. Box pombe Pongwe punde radi Ruth alikuwa Sadik sauti shujaa starehe tano tatu tetesi tochi upelelezi usiku wageni wala wasi wasi Wayua wazee yoyote Yusufu zake zile