Vituko dunianiLongman, 1970 - 43 pages |
From inside the book
Results 1-3 of 6
Page 31
... kabla sijaenda mbali huku nikikumbuka kuwa usiku ule wote fisi walikuwa wakipita pita na mizoga yao kuelekea upande wa Toloha . Naliwahi kuambiwa zamani kwamba fisi hula akiba zao za chakula mtoni au kwenye mapango kwa hiyo bila shaka ...

Page 37
... kabla ya kurekebisha mali yote kati ya ndugu zake ; pia alikuwa amekwisha kumchagulia mchumba wa kumwoa . Baada ya matanga kwisha , Ruth akawa mtawala wa pale nyumbani . Kwa kuwa alikwisha kuwa mkubwa na mwenye hekima , wanachama wa ...

Page 39
... ya Welfare , John aka- mwuliza Ruth , “ Ruth , yule bwana ni nani wako ? " Ruth akamjibu , " Bwana wee ! Yule bwana ni mtu wa nyumbani kwetu . Yeye alipatana na mzee wangu kabla hajafa kuwa ati ndiye atakayenioa . 39.

Contents
Mbio za Sakafuni | 1 |
Mwana Hamrithi Babaye | 12 |
Kisimba Shujaa | 23 |
Copyright | |
1 other sections not shown
Other editions - View all
Common terms and phrases
Afrika ya Mashariki Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona heri akasema akasikia alianza aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye atakuwa baba bahati bali barazani barua bastola Bi mkongwe biashara chache chochote dada dereva fisi gari ghafla giza hakujali halafu haraka Hekaya huku ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho jembamba Jinamizi jinsi jitokeze John joka Nondo Joyce Jumamosi Kamene kamwe kijana kikutani kile kikuta Kioko kisha Kisimba Korogwe kuanza kufikiri kuingia ndani kumweleza kwakuwa kwenda Kyalo lile Longman macho magaidi maiti makachero Makevo mali mara mbele Mbeya mbio mchumba mfalme wa Wanyakyusa mganga mikono mjini mkongwe mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini motokaa moyoni mwake mpenzi mpenziwe mradi msichana mtoto mtungi Mwana hamrithi babaye Mwanza Naam Nairobi naye Nondo nyumbani kwao P.O. Box pombe Pongwe punde radi Ruth alikuwa Sadik sauti shujaa starehe tano tatu tetesi tochi upelelezi usiku wageni wala wasi wasi Wayua wazee yoyote Yusufu zake zile