Vituko dunianiLongman, 1970 - 43 pages |
From inside the book
Results 1-3 of 5
Page 10
... jasho jembamba likaanza kumtoka . Wenzake wali- poanza kumshika tu na kumpepea , akaaga dunia . Maskini ! Huku nyuma , kitambo si kirefu baba yake akaanza kuumwa na tumbo . Mzee akaanza kulalamika na kujibwaga kitandani . Mara jamii ...

Page 21
... jasho na shati langu pia lililowa kwa jasho . Pumzi zikawa zinaniisha . Sikuacha kumwomba Mwenyezi Mungu na kusema sala zote na kisha nikaendelea kusema , " Nimekuja hapa kuonana na kuhakikisha kwamba kweli majini mko na kuwa uwezo wenu ...

Page 28
... jasho jembamba likanitoka usoni , moyo wangu ukawa unapiga upesi upesi . Nikawa najiweka tayari kwa wakati wangu wa mwisho uliokuwa ukija haraka kabisa . Mara mawazo yalinijia ghafla nikaanza kufikiri , “ Kwa nini nife kijinga , kwa ...

Contents
Mbio za Sakafuni | 1 |
Mwana Hamrithi Babaye | 12 |
Kisimba Shujaa | 23 |
Copyright | |
1 other sections not shown
Other editions - View all
Common terms and phrases
Afrika ya Mashariki Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona heri akasema akasikia alianza aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye atakuwa baba bahati bali barazani barua bastola Bi mkongwe biashara chache chochote dada dereva fisi gari ghafla giza hakujali halafu haraka Hekaya huku ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho jembamba Jinamizi jinsi jitokeze John joka Nondo Joyce Jumamosi Kamene kamwe kijana kikutani kile kikuta Kioko kisha Kisimba Korogwe kuanza kufikiri kuingia ndani kumweleza kwakuwa kwenda Kyalo lile Longman macho magaidi maiti makachero Makevo mali mara mbele Mbeya mbio mchumba mfalme wa Wanyakyusa mganga mikono mjini mkongwe mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini motokaa moyoni mwake mpenzi mpenziwe mradi msichana mtoto mtungi Mwana hamrithi babaye Mwanza Naam Nairobi naye Nondo nyumbani kwao P.O. Box pombe Pongwe punde radi Ruth alikuwa Sadik sauti shujaa starehe tano tatu tetesi tochi upelelezi usiku wageni wala wasi wasi Wayua wazee yoyote Yusufu zake zile