Vituko dunianiLongman, 1970 - 43 pages |
From inside the book
Results 1-3 of 11
Page 14
Hakuamini macho yake wakati kwa ghafla kulianza kutandazuka na akaweza kuona merikebu iliyokuwa ikielekea pale alipokuwa . Ilikuwa ni kwa bahati tu ; wale waliokuwamo merikebuni wakamwona Ahmed . Akaokolewa . Baada ya mapumziko kidogo ...

Page 15
... iliyokuwa njia pekee ya kujipatia riziki yake . Siku moja yule mganga wa Kisomali Sadik ambaye ndiye aliyekuwa mlezi wa Ahmed , mtoto wa Bwana Ali , alikuwa katika misafara yake ya kibiashara kwa wakati ule ; alipitia Pongwe kuonana na ...

Page 18
... iliyokuwa na madaraja yaliyoteremka chini . Nikaingiwa na hamu ya kwenda kuchungulia na nilipokwenda nikaona kwamba zilikuwa zikiongoza kwenye mahandaki makubwa . Sikuthubutu kuingia ndani . Kuta zake zilikuwa kuu kuu na mimea ya kila ...

Other editions - View all
Common terms and phrases
Afrika ya Mashariki Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona heri akasema akasikia alianza aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye atakuwa baba bahati bali barazani barua bastola Bi mkongwe biashara chache chochote dada dereva fisi gari ghafla giza hakujali halafu haraka Hekaya hofu huku ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho jembamba Jinamizi jinsi jitokeze John joka Nondo Joyce Jumamosi Kamene kamwe kijana kikutani kile kikuta Kioko kisha Kisimba Korogwe kuanza kufikiri kuingia ndani kumweleza kwakuwa kwenda Kyalo lile Longman macho magaidi maiti makachero Makevo mali mara mbele Mbeya mbio mchumba mfalme wa Wanyakyusa mganga mikono mjini mkongwe mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini motokaa moyoni mwake mpenzi mpenziwe mradi msichana mtoto Mwana hamrithi babaye Mwanza Naam Nairobi naye Nondo nyumbani kwao P.O. Box pombe Pongwe punde radi Ruth alikuwa Sadik sauti shujaa starehe tano tatu tetesi tochi upelelezi usiku wageni wala wasi wasi Wayua wazee yoyote Yusufu zake zile