Vituko dunianiLongman, 1970 - 43 pages |
From inside the book
Results 1-3 of 8
Page 36
... huyu bwana kwa kuwa nina uhakika kwamba yeye amekusudia kuja kuninyang'anya yule mpenzi wangu ninayekaa naye halafu anifukuzie mbali . " Mnazi- majini aliketi kimya tu akiyasikiliza mashtaka . Jinamizi akazidi kuendelea akisema ...

Page 39
... huyu ni Ben ; ambaye ametoka kijijini kwetu . " Basi Ben akasimama na kupeana mkono na John halafu wote wakakaa vitini . Ruth akaingia chumbani , akafunga mlango . Huku nyuma hamu ya kuuliza ikamshika Ben , akaona heri amwulize John ...

Page 43
... Huyu dada anaonyesha ana chochote kichwani mwake , hawa ndiyo wale D.K. ( Donge Kubwa ) -anaweza kunisitiri huyu . " Walipofika sinema , Ruth akamwomba dereva wote waingie pichani . Mhuni akashukuru sana maana alikwishapata mahali pa ...

Contents
Mbio za Sakafuni | 1 |
Mwana Hamrithi Babaye | 12 |
Kisimba Shujaa | 23 |
Copyright | |
1 other sections not shown
Other editions - View all
Common terms and phrases
Afrika ya Mashariki Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona heri akasema akasikia alianza aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye atakuwa baba bahati bali barazani barua bastola Bi mkongwe biashara chache chochote dada dereva fisi gari ghafla giza hakujali halafu haraka Hekaya huku ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho jembamba Jinamizi jinsi jitokeze John joka Nondo Joyce Jumamosi Kamene kamwe kijana kikutani kile kikuta Kioko kisha Kisimba Korogwe kuanza kufikiri kuingia ndani kumweleza kwakuwa kwenda Kyalo lile Longman macho magaidi maiti makachero Makevo mali mara mbele Mbeya mbio mchumba mfalme wa Wanyakyusa mganga mikono mjini mkongwe mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini motokaa moyoni mwake mpenzi mpenziwe mradi msichana mtoto mtungi Mwana hamrithi babaye Mwanza Naam Nairobi naye Nondo nyumbani kwao P.O. Box pombe Pongwe punde radi Ruth alikuwa Sadik sauti shujaa starehe tano tatu tetesi tochi upelelezi usiku wageni wala wasi wasi Wayua wazee yoyote Yusufu zake zile