Vituko dunianiLongman, 1970 - 43 pages |
From inside the book
Results 1-3 of 5
Page 8
... . " Mama hakummalizia yaliyokuwamo moyoni mwake ingawa nia yake hasa angalifurahi kuona kwamba binti yake ameolewa na mtu wa heshima na mali nyingi kama huyo ijapokuwa utengano baina ya mama na bintiye si jambo rahisi 8.

Page 14
... huyo aliwashauri wenzake kuwa ingekuwa bora kama wangelimteremsha Ahmed katika bandari ya mji wa Mtongwe , mji ambao ustaarabu , lugha na utamaduni wake ulikuwa sawa na Pongwe . Kuingia mjini humo tu , Ahmed alijihisi kuwa hakuwa mgeni ...

Page 37
... huyo alizaliwa katika ukoo wa kifalme na wa kitajiri . Kwa hiyo , baba yake alikuwa na nafasi hata ikambidi kuoa wake kumi na wawili . Pia hakukosa kumtimizia bintiye mahitaji yote yaliyohusu elimu maana alijua kwamba yeye ndiye atakaye ...

Contents
Mbio za Sakafuni | 1 |
Mwana Hamrithi Babaye | 12 |
Kisimba Shujaa | 23 |
Copyright | |
1 other sections not shown
Other editions - View all
Common terms and phrases
Afrika ya Mashariki Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona heri akasema akasikia alianza aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye atakuwa baba bahati bali barazani barua bastola Bi mkongwe biashara chache chochote dada dereva fisi gari ghafla giza hakujali halafu haraka Hekaya huku ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho jembamba Jinamizi jinsi jitokeze John joka Nondo Joyce Jumamosi Kamene kamwe kijana kikutani kile kikuta Kioko kisha Kisimba Korogwe kuanza kufikiri kuingia ndani kumweleza kwakuwa kwenda Kyalo lile Longman macho magaidi maiti makachero Makevo mali mara mbele Mbeya mbio mchumba mfalme wa Wanyakyusa mganga mikono mjini mkongwe mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini motokaa moyoni mwake mpenzi mpenziwe mradi msichana mtoto mtungi Mwana hamrithi babaye Mwanza Naam Nairobi naye Nondo nyumbani kwao P.O. Box pombe Pongwe punde radi Ruth alikuwa Sadik sauti shujaa starehe tano tatu tetesi tochi upelelezi usiku wageni wala wasi wasi Wayua wazee yoyote Yusufu zake zile