Vituko dunianiLongman, 1970 - 43 pages |
From inside the book
Results 1-3 of 12
Page 5
... halafu akaingia katika kijia kimoja kidogo ambacho kilikuwa kinaelekea kwenye nyumba ya mtu fulani . Mbele ya hiyo nyumba aliweza kuiona ile motokaa ya wale magaidi . Basi , aliisimamisha motokaa yake pembeni kidogo mahali ambapo askari ...

Page 36
... halafu anifukuzie mbali . " Mnazi- majini aliketi kimya tu akiyasikiliza mashtaka . Jinamizi akazidi kuendelea akisema , " Tukichungua vema katika ile sheria ya nchi yetu isemayo , ' Usiwe na husuda kwa mpenzi aliyehalalishwa kwa ...

Page 39
... halafu wote wakakaa vitini . Ruth akaingia chumbani , akafunga mlango . Huku nyuma hamu ya kuuliza ikamshika Ben , akaona heri amwulize John bila ya Ruth kujua . Ben : Je ! Bwana John , kwenu ni wapi ? John : Kwetu Dar es Salaam ingawa ...

Contents
Mbio za Sakafuni | 1 |
Mwana Hamrithi Babaye | 12 |
Kisimba Shujaa | 23 |
Copyright | |
1 other sections not shown
Other editions - View all
Common terms and phrases
Afrika ya Mashariki Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona heri akasema akasikia alianza aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye atakuwa baba bahati bali barazani barua bastola Bi mkongwe biashara chache chochote dada dereva fisi gari ghafla giza hakujali halafu haraka Hekaya huku ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho jembamba Jinamizi jinsi jitokeze John joka Nondo Joyce Jumamosi Kamene kamwe kijana kikutani kile kikuta Kioko kisha Kisimba Korogwe kuanza kufikiri kuingia ndani kumweleza kwakuwa kwenda Kyalo lile Longman macho magaidi maiti makachero Makevo mali mara mbele Mbeya mbio mchumba mfalme wa Wanyakyusa mganga mikono mjini mkongwe mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini motokaa moyoni mwake mpenzi mpenziwe mradi msichana mtoto mtungi Mwana hamrithi babaye Mwanza Naam Nairobi naye Nondo nyumbani kwao P.O. Box pombe Pongwe punde radi Ruth alikuwa Sadik sauti shujaa starehe tano tatu tetesi tochi upelelezi usiku wageni wala wasi wasi Wayua wazee yoyote Yusufu zake zile