Vituko dunianiLongman, 1970 - 43 pages |
From inside the book
Results 1-3 of 6
Page 13
... giza hata macho yake yakashindwa kuona vema . Akaanza kufadhaika na mawazo yakamjia kuwa ule wakati wake wa mwisho hauko mbali kamwe kwani miguu yake pamoja na mikono ilikuwa imekwisha anza kuchoka . Hakuamini macho yake wakati kwa ...

Page 19
... giza na upepo wa bahari ulikuwa unavuma kwa kasi . Nalipoikaribia ile nyumba , nalidhani kwamba yale mawimbi makubwa makubwa yalikuwa yakinguruma zaidi siku ile kuliko ilivyokuwa desturi yake . Nalishikwa na hofu . Moyo wangu ukaanza ...

Page 20
... giza tu . Nikarejesha macho yangu kwenye kile kikuta nacho pia kwa wakati huu kikawa kimefunikwa na giza . Pale pale naliitoa tochi yangu nikaiweka tayari mkononi ; nikakaa kwa mguu mmoja nikitazama upande wa mlango . Yote haya ...

Contents
Mbio za Sakafuni | 1 |
Mwana Hamrithi Babaye | 12 |
Kisimba Shujaa | 23 |
Copyright | |
1 other sections not shown
Other editions - View all
Common terms and phrases
Afrika ya Mashariki Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona heri akasema akasikia alianza aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye atakuwa baba bahati bali barazani barua bastola Bi mkongwe biashara chache chochote dada dereva fisi gari ghafla giza hakujali halafu haraka Hekaya huku ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho jembamba Jinamizi jinsi jitokeze John joka Nondo Joyce Jumamosi Kamene kamwe kijana kikutani kile kikuta Kioko kisha Kisimba Korogwe kuanza kufikiri kuingia ndani kumweleza kwakuwa kwenda Kyalo lile Longman macho magaidi maiti makachero Makevo mali mara mbele Mbeya mbio mchumba mfalme wa Wanyakyusa mganga mikono mjini mkongwe mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini motokaa moyoni mwake mpenzi mpenziwe mradi msichana mtoto mtungi Mwana hamrithi babaye Mwanza Naam Nairobi naye Nondo nyumbani kwao P.O. Box pombe Pongwe punde radi Ruth alikuwa Sadik sauti shujaa starehe tano tatu tetesi tochi upelelezi usiku wageni wala wasi wasi Wayua wazee yoyote Yusufu zake zile