From inside the book
Results 1-3 of 7
Page 4
Muda si muda Inspekta Kapera akasikia gari ikitiwa moto na ikaondoka . Naye akaondoka kwa haraka na kuingia katika motokaa yake na kuwafuata bila wao kujua kwamba walikuwa wakifuatwa . Alipokuwa akiwafuata , Inspekta Kapera aliwaza ...

Page 11
Katika kukimbia kwake vile , ghafla gari moja likawa linakuja mbio na lilikuwa karibu kumponda Kamene lakini mara likafunga breki na hali taa zake zikiwa zinammulika tu . Kamene akaanguka mbele ya ile gari , akazimia .

Page
Baadaye wakaondoka kwa gari huku wakiwa wamepakia machupa ya pombe . Yule jamaa alikuwa topu hata hakujali mwendo wa gari . Ghafla walishtukia gari yao imeingia chini ya lori kubwa . Ile gari yao ilisagwa sagwa kabisa hata ikawabidi wao ...

What people are saying - Write a review
We haven't found any reviews in the usual places.
Other editions - View all
Common terms and phrases
Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona akawa akiwa alianza alikuwa aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye askari asubuhi atakuwa baba bado bahati bali barazani barua biashara binti chache dada dereva fisi gari ghafla giza halafu haraka heri hofu huku huyo huyu ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho Jinamizi jinsi John joka Nondo kabla Kamene kamwe karibu kiasi kijana kikuta kile kimya Kioko kisha Kisimba kuanza kuelekea kufikiri kuingia kumi kumwoa kuona kupiga kusikia kwakuwa kwani kwenda lile Longman macho magaidi maisha mali mama mara mbele mbio mfalme mganga mikono mjini mkongwe mkubwa mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini moyo moyoni mpenzi msichana mtoto mwake Mwana mwenye mwenyewe mwingine mwisho Naam Nairobi naye ndani ndipo ndiye nguvu Nondo nyuma nyumbani pale pombe Pongwe punde Ruth Sadik safari sauti tangu tayari upande upelelezi usiku wageni wala wangu wasi wasi wawili Wayua wazee wewe yale yoyote Yusufu zake