Vituko dunianiLongman, 1970 - 43 pages |
From inside the book
Results 1-3 of 3
Page 28
... fisi ; na leo asubuhi ndipo baba naye ameaga dunia na kuniacha pekee . Nimekaa kibandani peke yangu mchana kutwa nikiizunguka zunguka maiti ya baba yangu mzee Nduli Mkalambati mpaka kukawa jioni bila ya kula wala kunywa . Jua lilitua ...

Page 29
... fisi wakifanya vishindo vya kutaka kuichukua ile maiti au labda hata mimi mwenyewe . Fikiri mwenyewe jinsi nalivyoogopa . Ilipofika kama saa kumi za usiku hivi nalianza kufikiri zaidi njia ya kuponea kuliko kujipa wasi wasi na kuogopa ...

Page 31
... fisi walikuwa wakipita pita na mizoga yao kuelekea upande wa Toloha . Naliwahi kuambiwa zamani kwamba fisi hula akiba zao za chakula mtoni au kwenye mapango kwa hiyo bila shaka huko fisi hawa walikokuwa wakiele- kea hakukukosa kulikuwa ...

Contents
Mbio za Sakafuni | 1 |
Mwana Hamrithi Babaye | 12 |
Kisimba Shujaa | 23 |
Copyright | |
1 other sections not shown
Other editions - View all
Common terms and phrases
Afrika ya Mashariki Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona heri akasema akasikia alianza aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye atakuwa baba bahati bali barazani barua bastola Bi mkongwe biashara chache chochote dada dereva fisi gari ghafla giza hakujali halafu haraka Hekaya huku ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho jembamba Jinamizi jinsi jitokeze John joka Nondo Joyce Jumamosi Kamene kamwe kijana kikutani kile kikuta Kioko kisha Kisimba Korogwe kuanza kufikiri kuingia ndani kumweleza kwakuwa kwenda Kyalo lile Longman macho magaidi maiti makachero Makevo mali mara mbele Mbeya mbio mchumba mfalme wa Wanyakyusa mganga mikono mjini mkongwe mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini motokaa moyoni mwake mpenzi mpenziwe mradi msichana mtoto mtungi Mwana hamrithi babaye Mwanza Naam Nairobi naye Nondo nyumbani kwao P.O. Box pombe Pongwe punde radi Ruth alikuwa Sadik sauti shujaa starehe tano tatu tetesi tochi upelelezi usiku wageni wala wasi wasi Wayua wazee yoyote Yusufu zake zile