Vituko dunianiLongman, 1970 - 43 pages |
From inside the book
Results 1-3 of 8
Page 4
... bali wasi wasi mtupu . Mawazo ya Inspekta Kapera hayakuwa ya uwongo maana baada ya muda mfupi tu , wale watu waliondoka nje na kuacha tembo yao kabla kuimaliza . Muda si muda Inspekta Kapera akasikia gari ikitiwa moto na ikaondoka ...

Page 14
... bali alianza kuzurura majiani akikumbuka hadithi ya mji huo kama alivyowahi kuhadithiwa na hayati babu yake . Kwa bahati njema , siku ile ile jioni alikutana na mtu ambaye alimwuliza hali kana kwamba walijuana mwanzoni . Kwa kweli mtu ...

Page 21
... bali nalijibu , " Karibu , nakungojea tuonane ! " Nadhani kitu kiliingia ndani maana giza lilikusanyika kwa umbo la mtu na kujisogeza mpaka kikutani . Nalipoona haya , mdomo ulinikauka na jasho jembamba lilianza kunitoka . Ikawa ni ...

Other editions - View all
Common terms and phrases
Afrika ya Mashariki Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona heri akasema akasikia alianza aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye atakuwa baba bahati bali barazani barua bastola Bi mkongwe biashara chache chochote dada dereva fisi gari ghafla giza hakujali halafu haraka Hekaya hofu huku ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho jembamba Jinamizi jinsi jitokeze John joka Nondo Joyce Jumamosi Kamene kamwe kijana kikutani kile kikuta Kioko kisha Kisimba Korogwe kuanza kufikiri kuingia ndani kumweleza kwakuwa kwenda Kyalo lile Longman macho magaidi maiti makachero Makevo mali mara mbele Mbeya mbio mchumba mfalme wa Wanyakyusa mganga mikono mjini mkongwe mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini motokaa moyoni mwake mpenzi mpenziwe mradi msichana mtoto Mwana hamrithi babaye Mwanza Naam Nairobi naye Nondo nyumbani kwao P.O. Box pombe Pongwe punde radi Ruth alikuwa Sadik sauti shujaa starehe tano tatu tetesi tochi upelelezi usiku wageni wala wasi wasi Wayua wazee yoyote Yusufu zake zile