Vituko dunianiLongman, 1970 - 43 pages |
From inside the book
Results 1-3 of 5
Page 25
... bado . Siku moja Kisimba alipokuwa amelala usingizi mzito aliota juu ya arusi yake na kwamba alioa binti mzuri sana sana . Alionyeshwa katika ndoto sura za yule binti mwenyewe na kuambiwa nchi anako- ishi na atakakompata . Yule binti ...

Page 28
... bado wangali wakitafuta mawindo yao . Nalikuwa sasa nimekaa kimya nikingojea mwisho wangu ambao ulishaanza kukaribia . Nalisikia njaa sana , mwili wangu ulianza kuchoka , mdomo wangu ukawa mkavu , mate yakawa machungu , jasho jembamba ...

Page 32
... bado . Nasikitika kusema wale ambao hawajasikia mikasa mingi ya tafrija hawana bahati . Kituko hiki kifuatacho cha kusisimua kili- kuwa kama cha kuficha macho . Hasa kilivuma sana miaka michache iliyopita . Matukio yake ya tafrija ...

Contents
Mbio za Sakafuni | 1 |
Mwana Hamrithi Babaye | 12 |
Kisimba Shujaa | 23 |
Copyright | |
1 other sections not shown
Other editions - View all
Common terms and phrases
Afrika ya Mashariki Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona heri akasema akasikia alianza aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye atakuwa baba bahati bali barazani barua bastola Bi mkongwe biashara chache chochote dada dereva fisi gari ghafla giza hakujali halafu haraka Hekaya huku ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho jembamba Jinamizi jinsi jitokeze John joka Nondo Joyce Jumamosi Kamene kamwe kijana kikutani kile kikuta Kioko kisha Kisimba Korogwe kuanza kufikiri kuingia ndani kumweleza kwakuwa kwenda Kyalo lile Longman macho magaidi maiti makachero Makevo mali mara mbele Mbeya mbio mchumba mfalme wa Wanyakyusa mganga mikono mjini mkongwe mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini motokaa moyoni mwake mpenzi mpenziwe mradi msichana mtoto mtungi Mwana hamrithi babaye Mwanza Naam Nairobi naye Nondo nyumbani kwao P.O. Box pombe Pongwe punde radi Ruth alikuwa Sadik sauti shujaa starehe tano tatu tetesi tochi upelelezi usiku wageni wala wasi wasi Wayua wazee yoyote Yusufu zake zile