Vituko dunianiLongman, 1970 - 43 pages |
From inside the book
Results 1-3 of 7
Page 8
... akawa hana la kufanya ila kurudi nyumbani kwao haraka alivyoweza . Msichana Kamene akaanza kupiga mbio hadi kwao na alipofika tu akaingia moja kwa moja mpaka nyumbani kwa wazazi wake na kuanza kuwapa kisa na mkasa uliowafikia yeye na ...

Page 10
... akawa kama mwenda wazimu , manywele yaka- mtimka , huku akilia , akawa anakimbia ovyo ovyo mabarabarani akipiga kelele na kuelekea Nairobi . Kwakuwa ilikuwa usiku , taa za magari yaliyokuwa yakienda na kutoka mjini zikawa zinammulika ...

Page 37
... akawa mtawala wa pale nyumbani . Kwa kuwa alikwisha kuwa mkubwa na mwenye hekima , wanachama wa chama cha Maendeleo ya Wanawake pale mtaani pao wakamchagua kushika uongozi wa chama chao ; naye akakubali . Uongozi wake ukafana mno na ...

Contents
Mbio za Sakafuni | 1 |
Mwana Hamrithi Babaye | 12 |
Kisimba Shujaa | 23 |
Copyright | |
1 other sections not shown
Other editions - View all
Common terms and phrases
Afrika ya Mashariki Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona heri akasema akasikia alianza aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye atakuwa baba bahati bali barazani barua bastola Bi mkongwe biashara chache chochote dada dereva fisi gari ghafla giza hakujali halafu haraka Hekaya huku ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho jembamba Jinamizi jinsi jitokeze John joka Nondo Joyce Jumamosi Kamene kamwe kijana kikutani kile kikuta Kioko kisha Kisimba Korogwe kuanza kufikiri kuingia ndani kumweleza kwakuwa kwenda Kyalo lile Longman macho magaidi maiti makachero Makevo mali mara mbele Mbeya mbio mchumba mfalme wa Wanyakyusa mganga mikono mjini mkongwe mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini motokaa moyoni mwake mpenzi mpenziwe mradi msichana mtoto mtungi Mwana hamrithi babaye Mwanza Naam Nairobi naye Nondo nyumbani kwao P.O. Box pombe Pongwe punde radi Ruth alikuwa Sadik sauti shujaa starehe tano tatu tetesi tochi upelelezi usiku wageni wala wasi wasi Wayua wazee yoyote Yusufu zake zile