Vituko dunianiLongman, 1970 - 43 pages |
From inside the book
Results 1-3 of 6
Page 15
... akaona moshi mwembamba kwa mbali sana ukitambaa na kuelekea pale alipokuwapo . Moshi ule ulipofika pale ulibadilika na kuwa pandikizi la jitu jeupe sana lililokuwa na wasifu uliofanana na mtu mmoja aliyemfahamu vizuri huko kwao Pongwe ...

Page 32
... akaona kwamba anahitaji auni ; na hivyo basi akaamua kwenda kwa mganga aliyeishi mjini mle mle aliyeitwa Mnazimajini ambaye ada yake haikuwa kuagua mpaka aombwe kufanya hivyo . Jinamizi alitoka na kwenda kwa yule mganga ; alipofika ...

Page 39
... akaona heri amwulize John bila ya Ruth kujua . Ben : Je ! Bwana John , kwenu ni wapi ? John : Kwetu Dar es Salaam ingawa nimehamishwa hapa . Nafanya kazi bomani . Je ! Wewe unatoka wapi ? • Ben : Mimi natoka huko mashambani , nami ...

Contents
Mbio za Sakafuni | 1 |
Mwana Hamrithi Babaye | 12 |
Kisimba Shujaa | 23 |
Copyright | |
1 other sections not shown
Other editions - View all
Common terms and phrases
Afrika ya Mashariki Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona heri akasema akasikia alianza aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye atakuwa baba bahati bali barazani barua bastola Bi mkongwe biashara chache chochote dada dereva fisi gari ghafla giza hakujali halafu haraka Hekaya huku ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho jembamba Jinamizi jinsi jitokeze John joka Nondo Joyce Jumamosi Kamene kamwe kijana kikutani kile kikuta Kioko kisha Kisimba Korogwe kuanza kufikiri kuingia ndani kumweleza kwakuwa kwenda Kyalo lile Longman macho magaidi maiti makachero Makevo mali mara mbele Mbeya mbio mchumba mfalme wa Wanyakyusa mganga mikono mjini mkongwe mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini motokaa moyoni mwake mpenzi mpenziwe mradi msichana mtoto mtungi Mwana hamrithi babaye Mwanza Naam Nairobi naye Nondo nyumbani kwao P.O. Box pombe Pongwe punde radi Ruth alikuwa Sadik sauti shujaa starehe tano tatu tetesi tochi upelelezi usiku wageni wala wasi wasi Wayua wazee yoyote Yusufu zake zile