Vituko dunianiLongman, 1970 - 43 pages |
From inside the book
Results 1-3 of 6
Page 4
... akaona kuwa zilikuwa ni nyuso zilizokuwa zimejaa wasi wasi , macho yao yalikuwa yanakupia kupia saa zote nao walikuwa hawasemi kitu . Íli mradi katika kikundi chao , furaha haikuwapo bali wasi wasi mtupu . Mawazo ya Inspekta Kapera ...

Page 11
... akaona heri ampeleke haraka hospitalini . Kwa haraka akamwingiza ndani ya motokaa yake na kumpeleka hospitalini . Kamene akapokelewa vema kule hospitali na matibabu yakaanza saa ile ile ; lakini juu ya jitihada kuu iliyofanywa na ...

Page 15
... akaona moshi mwembamba kwa mbali sana ukitambaa na kuelekea pale alipokuwapo . Moshi ule ulipofika pale ulibadilika na kuwa pandikizi la jitu jeupe sana lililokuwa na wasifu uliofanana na mtu mmoja aliyemfahamu vizuri huko kwao Pongwe ...

Contents
Mbio za Sakafuni | 1 |
Mwana Hamrithi Babaye | 12 |
Kisimba Shujaa | 23 |
Copyright | |
1 other sections not shown
Other editions - View all
Common terms and phrases
Afrika ya Mashariki Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona heri akasema akasikia alianza aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye atakuwa baba bahati bali barazani barua bastola Bi mkongwe biashara chache chochote dada dereva fisi gari ghafla giza hakujali halafu haraka Hekaya huku ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho jembamba Jinamizi jinsi jitokeze John joka Nondo Joyce Jumamosi Kamene kamwe kijana kikutani kile kikuta Kioko kisha Kisimba Korogwe kuanza kufikiri kuingia ndani kumweleza kwakuwa kwenda Kyalo lile Longman macho magaidi maiti makachero Makevo mali mara mbele Mbeya mbio mchumba mfalme wa Wanyakyusa mganga mikono mjini mkongwe mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini motokaa moyoni mwake mpenzi mpenziwe mradi msichana mtoto mtungi Mwana hamrithi babaye Mwanza Naam Nairobi naye Nondo nyumbani kwao P.O. Box pombe Pongwe punde radi Ruth alikuwa Sadik sauti shujaa starehe tano tatu tetesi tochi upelelezi usiku wageni wala wasi wasi Wayua wazee yoyote Yusufu zake zile