Vituko dunianiLongman, 1970 - 43 pages |
From inside the book
Results 1-3 of 9
Page 10
... akaanza kuumwa na tumbo . Mzee akaanza kulalamika na kujibwaga kitandani . Mara jamii yake yote ikamzunguka pale kitandani miongoni mwao akiwa Kamene . Povu jingi likaanza kumtoka kinywani . Mzee mmoja mwenye busara alipoona vile ...

Page 11
... akaanza kumfanyia huduma ya kwanza huku akimpepeapepea na kumtuliza mpaka yule msichana akaanza kupumua . Kamene alipopata fahamu kidogo na kuinua macho juu akamwona Kioko ndiye aliyekuwa amempakata . Kamene akaanza kuzingatia ...

Page 32
... akaanza ulozi wake bila kukawia . Kufumba na kufumbua Mnazimaji akatoweka na badala yake akatokea msichana mzuri kama malaika . Hapo Jinamizi akashikwa na butwaa na akakaa kama aliyekuwa amepigwa na mvua ya mawe . Yule msichana ...

Contents
Mbio za Sakafuni | 1 |
Mwana Hamrithi Babaye | 12 |
Kisimba Shujaa | 23 |
Copyright | |
1 other sections not shown
Other editions - View all
Common terms and phrases
Afrika ya Mashariki Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona heri akasema akasikia alianza aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye atakuwa baba bahati bali barazani barua bastola Bi mkongwe biashara chache chochote dada dereva fisi gari ghafla giza hakujali halafu haraka Hekaya huku ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho jembamba Jinamizi jinsi jitokeze John joka Nondo Joyce Jumamosi Kamene kamwe kijana kikutani kile kikuta Kioko kisha Kisimba Korogwe kuanza kufikiri kuingia ndani kumweleza kwakuwa kwenda Kyalo lile Longman macho magaidi maiti makachero Makevo mali mara mbele Mbeya mbio mchumba mfalme wa Wanyakyusa mganga mikono mjini mkongwe mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini motokaa moyoni mwake mpenzi mpenziwe mradi msichana mtoto mtungi Mwana hamrithi babaye Mwanza Naam Nairobi naye Nondo nyumbani kwao P.O. Box pombe Pongwe punde radi Ruth alikuwa Sadik sauti shujaa starehe tano tatu tetesi tochi upelelezi usiku wageni wala wasi wasi Wayua wazee yoyote Yusufu zake zile