Vituko dunianiLongman, 1970 - 43 pages |
From inside the book
Results 1-3 of 4
Page 1
... Yusufu alikuwa ofisini mwake ambako upande wa mbele kulikuwa kumepandwa miwaridi iliyokuwa ikileta harufu nzuri sana ofisini mwake . Yusufu alikuwa mtu maarufu sana mjini Korogwe kwa utajiri wake wa maduka na nyumba kadhaa . Ilikuwa ...

Page 2
... Yusufu simama , inua mikono juu na wala usiguse chochote mezani - haraka , ama sivyo mwanzi huu utakufyatukia . " Yusufu huku akitetemeka aliinuka na kutenda kama vile alivyoamriwa . Gaidi mmoja akamwambia mwenzake , " Kusanya haya mali ...

Page 3
... Yusufu akanyong'o- nyea taratibu na kuegamia mezani halafu akawa maiti ! Wale magaidi walipoona kwamba Yusufu amefariki , walipiga simu polisi kwa hekima na kutoa taarifa kwamba Yusufu amefariki kwa kupigwa risasi . Askari wa Polisi ...

Contents
Mbio za Sakafuni | 1 |
Mwana Hamrithi Babaye | 12 |
Kisimba Shujaa | 23 |
Copyright | |
1 other sections not shown
Other editions - View all
Common terms and phrases
Afrika ya Mashariki Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona heri akasema akasikia alianza aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye atakuwa baba bahati bali barazani barua bastola Bi mkongwe biashara chache chochote dada dereva fisi gari ghafla giza hakujali halafu haraka Hekaya huku ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho jembamba Jinamizi jinsi jitokeze John joka Nondo Joyce Jumamosi Kamene kamwe kijana kikutani kile kikuta Kioko kisha Kisimba Korogwe kuanza kufikiri kuingia ndani kumweleza kwakuwa kwenda Kyalo lile Longman macho magaidi maiti makachero Makevo mali mara mbele Mbeya mbio mchumba mfalme wa Wanyakyusa mganga mikono mjini mkongwe mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini motokaa moyoni mwake mpenzi mpenziwe mradi msichana mtoto mtungi Mwana hamrithi babaye Mwanza Naam Nairobi naye Nondo nyumbani kwao P.O. Box pombe Pongwe punde radi Ruth alikuwa Sadik sauti shujaa starehe tano tatu tetesi tochi upelelezi usiku wageni wala wasi wasi Wayua wazee yoyote Yusufu zake zile