Vituko dunianiLongman, 1970 - 43 pages |
From inside the book
Results 1-3 of 6
Page 37
... Ruth alikuwa mtii na mnyenyekevu mbele ya wakuu wake . Aliaminika sana na majirani kijijini pao . Alikuwa na moyo wa kupenda starehe ingawa hakuthubutu kujiingiza maana alitambua kuwa kufanya hivyo ndio mwanzo wa kuharibu maisha yake ...

Page 39
... Ruth akaruka akasema , " Tafadhali Ben , nataka kumwona yule bwana . " Ben akamjibu , “ Unaweza kwenda tu , Ruth . " Baada ya mlango kufungwa , Ben akasikia sauti ya Ruth ikisema , " Halo darling ! " Na ya kiume ikijibu , " Halo Ruth ...

Page 43
... Ruth alithibitisha kuwa kweli chumba kile kilikuwa hakikaliwi na mtu maana kilikuwa kitupu isipokuwa godoro na shuka moja vili- vyolazwa sakafuni ; kumbe ni kitanda cha jamaa ! Dereva akamweleza Ruth kuwa yeye alikaa shambani ...

Contents
Mbio za Sakafuni | 1 |
Mwana Hamrithi Babaye | 12 |
Kisimba Shujaa | 23 |
Copyright | |
1 other sections not shown
Other editions - View all
Common terms and phrases
Afrika ya Mashariki Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona heri akasema akasikia alianza aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye atakuwa baba bahati bali barazani barua bastola Bi mkongwe biashara chache chochote dada dereva fisi gari ghafla giza hakujali halafu haraka Hekaya huku ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho jembamba Jinamizi jinsi jitokeze John joka Nondo Joyce Jumamosi Kamene kamwe kijana kikutani kile kikuta Kioko kisha Kisimba Korogwe kuanza kufikiri kuingia ndani kumweleza kwakuwa kwenda Kyalo lile Longman macho magaidi maiti makachero Makevo mali mara mbele Mbeya mbio mchumba mfalme wa Wanyakyusa mganga mikono mjini mkongwe mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini motokaa moyoni mwake mpenzi mpenziwe mradi msichana mtoto mtungi Mwana hamrithi babaye Mwanza Naam Nairobi naye Nondo nyumbani kwao P.O. Box pombe Pongwe punde radi Ruth alikuwa Sadik sauti shujaa starehe tano tatu tetesi tochi upelelezi usiku wageni wala wasi wasi Wayua wazee yoyote Yusufu zake zile