Vituko dunianiLongman, 1970 - 43 pages |
From inside the book
Results 1-3 of 3
Page 25
akamshukuru Nondo sana na wakaagana kisha Nondo akatoweka kuelekea upande wa ghuba ya Bara Hindi . Baada ya saa kadhaa , wale marafiki zake Kisimba wakazinduka na kuanza kustaajabu kwamba kulitokea nini na kwa nini walikuwa wamelala ...

Page 26
... Nondo limetueleza kwamba tuna vita naye na kwamba baada ya siku chache atatuangamiza sisi na vyote vilivyomo nchini mwetu ; nasi hatujui la kufanya . Hivyo basi , sharti moja tu ambalo kwalo naweza kukubali kukuoza mwanangu ni kuwa ...

Page 27
... Nondo likawa limekwisha hudhuria pale barazani . Baraza ikawa kimyaa ! Kisimba alipoona kuwa kila mahali pametulia , alisogea mbele na kwenda kusema na joka Nondo akimwambia , " Nakuamkia joka Nondo , mkali wa wakali , hasidi wa ...

Contents
Mbio za Sakafuni | 1 |
Mwana Hamrithi Babaye | 12 |
Kisimba Shujaa | 23 |
Copyright | |
1 other sections not shown
Other editions - View all
Common terms and phrases
Afrika ya Mashariki Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona heri akasema akasikia alianza aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye atakuwa baba bahati bali barazani barua bastola Bi mkongwe biashara chache chochote dada dereva fisi gari ghafla giza hakujali halafu haraka Hekaya huku ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho jembamba Jinamizi jinsi jitokeze John joka Nondo Joyce Jumamosi Kamene kamwe kijana kikutani kile kikuta Kioko kisha Kisimba Korogwe kuanza kufikiri kuingia ndani kumweleza kwakuwa kwenda Kyalo lile Longman macho magaidi maiti makachero Makevo mali mara mbele Mbeya mbio mchumba mfalme wa Wanyakyusa mganga mikono mjini mkongwe mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini motokaa moyoni mwake mpenzi mpenziwe mradi msichana mtoto mtungi Mwana hamrithi babaye Mwanza Naam Nairobi naye Nondo nyumbani kwao P.O. Box pombe Pongwe punde radi Ruth alikuwa Sadik sauti shujaa starehe tano tatu tetesi tochi upelelezi usiku wageni wala wasi wasi Wayua wazee yoyote Yusufu zake zile