From inside the book
Results 1-3 of 5
Page 8
Kamene aliduwaa huku akiuangalia ule mtungi uliokuwa umekwisha vunjika
vipande vipande pale chini . Aliuangalia kwa huzuni maana ulikuwa mtungi
maalumu sana kwao . Mtungi wenyewe Wayua alipewa zawadi na wazazi wake
wakati ...

Page 9
Maneno haya yalikuwa mithili ya sumu moyoni mwa Kamene lakini alikuwa hana
nafasi wala uwezo wa kushindana na mama yake ; maana ilikuwa kama jana tu
alipokuwa akienda Nairobi akakutana na kijana mmoja mrembo sana , Kioko ...

Page 11
Katika kukimbia kwake vile , ghafla gari moja likawa linakuja mbio na lilikuwa
karibu kumponda Kamene lakini mara likafunga breki na hali taa zake zikiwa
zinammulika tu . Kamene akaanguka mbele ya ile gari , akazimia . Yule mwenye
gari ...

What people are saying - Write a review
We haven't found any reviews in the usual places.
Contents
Mbio za Sakafuni | 1 |
Mwana Hamrithi Babaye | 12 |
Kisimba Shujaa | 23 |
Copyright | |
1 other sections not shown
Other editions - View all
Common terms and phrases
Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona akawa akiwa alianza alikuwa aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye asubuhi atakuwa baba bado bahati bali barazani barua biashara binti chache dada dereva fisi gari ghafla giza halafu haraka heri hofu huku huyo huyu ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho Jinamizi jinsi John joka Nondo kabla Kamene kamwe karibu kati kiasi kifo kijana kikuta kile kimya Kioko kisha Kisimba kuanza kuelekea kufikiri kuingia kumi kumwoa kuona kupiga kusikia kwakuwa kwani kwenda lile macho magaidi maisha mali mama mara mbele mbio mfalme mganga mikono mjini mkongwe mkubwa mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini moyo moyoni mpenzi msichana mtoto mwake Mwana mwenye mwenyewe mwingine mwisho Naam Nairobi naye ndani ndiye nguvu Nondo nyuma nyumbani pale pombe Pongwe punde Ruth Sadik safari sauti tangu tayari upande upelelezi usiku vema wageni wala wangu wasi wasi wawili Wayua wazee wewe yale yoyote Yusufu zake