Vituko dunianiLongman, 1970 - 43 pages |
From inside the book
Results 1-3 of 4
Page 32
... Jinamizi . Yeye alipiga moyo konde bila kukereza tamaa . Mwishowe akaona kwamba anahitaji auni ; na hivyo basi akaamua kwenda kwa mganga aliyeishi mjini mle mle aliyeitwa Mnazimajini ambaye ada yake haikuwa kuagua mpaka aombwe kufanya ...

Page 34
... Jinamizi akamsheheneza shukrani nyingi huku akisujudu na halafu akampa hedaya alizo- mletea . Wakaagana , Jinamizi akaenda nyumbani kwake bila madhila . Kwa kweli kutokana na uganga wa Mnazimajini , Jinamizi alitambua kinaganaga kwamba ...

Page 35
... Jinamizi . Watu walipokuwa wamekwisha kukusanyika , Jinamizi akasimama katikati na kuwaeleza yote aliyoyasikia . Akaendelea kusema kwamba , " Wote mliohudhuria mnaombwa kushirikiana katika kumjengea nyumba huyu mwanamke mtukufu nami ...

Contents
Mbio za Sakafuni | 1 |
Mwana Hamrithi Babaye | 12 |
Kisimba Shujaa | 23 |
Copyright | |
1 other sections not shown
Other editions - View all
Common terms and phrases
Afrika ya Mashariki Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona heri akasema akasikia alianza aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye atakuwa baba bahati bali barazani barua bastola Bi mkongwe biashara chache chochote dada dereva fisi gari ghafla giza hakujali halafu haraka Hekaya huku ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho jembamba Jinamizi jinsi jitokeze John joka Nondo Joyce Jumamosi Kamene kamwe kijana kikutani kile kikuta Kioko kisha Kisimba Korogwe kuanza kufikiri kuingia ndani kumweleza kwakuwa kwenda Kyalo lile Longman macho magaidi maiti makachero Makevo mali mara mbele Mbeya mbio mchumba mfalme wa Wanyakyusa mganga mikono mjini mkongwe mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini motokaa moyoni mwake mpenzi mpenziwe mradi msichana mtoto mtungi Mwana hamrithi babaye Mwanza Naam Nairobi naye Nondo nyumbani kwao P.O. Box pombe Pongwe punde radi Ruth alikuwa Sadik sauti shujaa starehe tano tatu tetesi tochi upelelezi usiku wageni wala wasi wasi Wayua wazee yoyote Yusufu zake zile