Vituko dunianiLongman, 1970 - 43 pages |
From inside the book
Results 1-3 of 3
Page 17
... Bi mkongwe mwenye nyumba na kumwonyesha . " Aaa ! Na nyie nanyi mna itikadi mno . Tena ina nakshi na kung'aa vizuri sana ; hebu niijaribu , " yule Bi mkongwe alisema kisha akaitwaa ile hirizi na kuifumbatia kwenye mkono wake wa kushoto ...

Page 18
... Bi mkongwe . Nalikitambua mara moja maana kilikuwa kipya katika sehemu ya juu . Upana wake ulizidi shubiri na pande zake nne zilikuwa wazi . Nalikiangalia sana . Upande wa tano ulikuwa ndiyo msingi na wa sita ulikuwa mwembamba ambao ...

Page 20
... mkongwe katika fikara zangu . Sikuweza kujizuia , nalitaharaki kuona msiba uliompata yule Bi mkongwe maskini ! Kutahamaki nikasikia mlio wa mlango ukifunguliwa kwa kishindo . Moyo ukanidunda , pumzi zikafupika na kwa haraka nikaa ...

Contents
Mbio za Sakafuni | 1 |
Mwana Hamrithi Babaye | 12 |
Kisimba Shujaa | 23 |
Copyright | |
1 other sections not shown
Other editions - View all
Common terms and phrases
Afrika ya Mashariki Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona heri akasema akasikia alianza aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye atakuwa baba bahati bali barazani barua bastola Bi mkongwe biashara chache chochote dada dereva fisi gari ghafla giza hakujali halafu haraka Hekaya huku ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho jembamba Jinamizi jinsi jitokeze John joka Nondo Joyce Jumamosi Kamene kamwe kijana kikutani kile kikuta Kioko kisha Kisimba Korogwe kuanza kufikiri kuingia ndani kumweleza kwakuwa kwenda Kyalo lile Longman macho magaidi maiti makachero Makevo mali mara mbele Mbeya mbio mchumba mfalme wa Wanyakyusa mganga mikono mjini mkongwe mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini motokaa moyoni mwake mpenzi mpenziwe mradi msichana mtoto mtungi Mwana hamrithi babaye Mwanza Naam Nairobi naye Nondo nyumbani kwao P.O. Box pombe Pongwe punde radi Ruth alikuwa Sadik sauti shujaa starehe tano tatu tetesi tochi upelelezi usiku wageni wala wasi wasi Wayua wazee yoyote Yusufu zake zile