Vituko dunianiLongman, 1970 - 43 pages |
From inside the book
Results 1-3 of 10
Page 4
... alipofika nyumbani kwake , akaenda moja kwa moja kuketi chumbani mwake . Alipokuwa akifikiri afanyeje juu ya upelelezi ule , akasikia sauti ikimwambia , " Jana mlipata kitisho kidogo tu cha kuuacha upelelezi huu . " Aliposikia hivyo ...

Page 8
... alipofika tu akaingia moja kwa moja mpaka nyumbani kwa wazazi wake na kuanza kuwapa kisa na mkasa uliowafikia yeye na dada yake akieleza kwamba hajui wale watu waliomchukua dada yake wamempeleka wapi . Lakini Kamene alishtushwa sana na ...

Page 43
... alipofika nyumbani akasema moyoni mwake , " Unaona basi , Mungu akupe , akupe nini - donda ! Nalichokuwa nikikitafuta si hiki ? " Akaingia ndani akakusanya kila kitu hata sanduku la Ruth akabana mlango , huyoo ! Akaenda zake ...

Contents
Mbio za Sakafuni | 1 |
Mwana Hamrithi Babaye | 12 |
Kisimba Shujaa | 23 |
Copyright | |
1 other sections not shown
Other editions - View all
Common terms and phrases
Afrika ya Mashariki Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona heri akasema akasikia alianza aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye atakuwa baba bahati bali barazani barua bastola Bi mkongwe biashara chache chochote dada dereva fisi gari ghafla giza hakujali halafu haraka Hekaya huku ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho jembamba Jinamizi jinsi jitokeze John joka Nondo Joyce Jumamosi Kamene kamwe kijana kikutani kile kikuta Kioko kisha Kisimba Korogwe kuanza kufikiri kuingia ndani kumweleza kwakuwa kwenda Kyalo lile Longman macho magaidi maiti makachero Makevo mali mara mbele Mbeya mbio mchumba mfalme wa Wanyakyusa mganga mikono mjini mkongwe mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini motokaa moyoni mwake mpenzi mpenziwe mradi msichana mtoto mtungi Mwana hamrithi babaye Mwanza Naam Nairobi naye Nondo nyumbani kwao P.O. Box pombe Pongwe punde radi Ruth alikuwa Sadik sauti shujaa starehe tano tatu tetesi tochi upelelezi usiku wageni wala wasi wasi Wayua wazee yoyote Yusufu zake zile