Vituko dunianiLongman, 1970 - 43 pages |
From inside the book
Results 1-3 of 6
Page 14
... Ahmed katika bandari ya mji wa Mtongwe , mji ambao ustaarabu , lugha na utamaduni wake ulikuwa sawa na Pongwe . Kuingia mjini humo tu , Ahmed alijihisi kuwa hakuwa mgeni tena bali alianza kuzurura majiani akikumbuka hadithi ya mji huo ...

Page 15
... Ahmed alikubali . Uaminifu na tabia yake njema ndizo sifa ambazo kwazo zilimfanya Ahmed kupatiwa kazi kama hiyo na huyu mwenyeji wake , Sadik . Siku ya pili asubuhi gari nzuri sana ilisimama mlangoni pa yule kijana aliyekuwa tarishi ...

Page 16
... Ahmed aliyepotea baharini Sadik alimshauri Bwana Ali kuhama mji ule na kufuatana naye hadi Mtongwe . Safari ya haraka ikafanywa na baada ya siku chache wakafika Mtongwe . 99 Hali yake Ahmed tokea siku ile alipokuwa kijitoni ilikuwa ...

Contents
Mbio za Sakafuni | 1 |
Mwana Hamrithi Babaye | 12 |
Kisimba Shujaa | 23 |
Copyright | |
1 other sections not shown
Other editions - View all
Common terms and phrases
Afrika ya Mashariki Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona heri akasema akasikia alianza aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye atakuwa baba bahati bali barazani barua bastola Bi mkongwe biashara chache chochote dada dereva fisi gari ghafla giza hakujali halafu haraka Hekaya huku ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho jembamba Jinamizi jinsi jitokeze John joka Nondo Joyce Jumamosi Kamene kamwe kijana kikutani kile kikuta Kioko kisha Kisimba Korogwe kuanza kufikiri kuingia ndani kumweleza kwakuwa kwenda Kyalo lile Longman macho magaidi maiti makachero Makevo mali mara mbele Mbeya mbio mchumba mfalme wa Wanyakyusa mganga mikono mjini mkongwe mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini motokaa moyoni mwake mpenzi mpenziwe mradi msichana mtoto mtungi Mwana hamrithi babaye Mwanza Naam Nairobi naye Nondo nyumbani kwao P.O. Box pombe Pongwe punde radi Ruth alikuwa Sadik sauti shujaa starehe tano tatu tetesi tochi upelelezi usiku wageni wala wasi wasi Wayua wazee yoyote Yusufu zake zile