KITABU CHA MATUNDA: Matunda na faida zake

Front Cover
Rajabu Athuman, 2019 M02 24 - 200 pages

 Mwili unahitaji virutubisho ili upate kumea vyema. matunda ni mojawapo ya vyakula vyenye virutubisho hivyo. Ukiacha mbali mafuta, protini na maji yaliyomo kwenye matunda ila pia matunda ni chanzo kizuri cha vitamini kweti.

Kitabu hiki kimekusudiwa kukupa elimu juu ya matunda na faida zake ndani ya miili yetu. 

 

What people are saying - Write a review

We haven't found any reviews in the usual places.

Common terms and phrases

About the author (2019)

 Mwl. Rajabu Athuman ni muelimishaji wa jamii kupitia mitandao. Na sasa anakuletea kijitabu hiki kidogo upate faida juu ya matunda.

Bibliographic information