KITABU CHA AFYA: Elimu Ya Afya

Front Cover
Rajabu Athuman, 2019 M02 16 - 6 pages

 Hiki ni kitabu kinachokupa mwangaza juu ya maswala mbalimbali ya Afya yakiwemo maradhi, kinga, tiba pamoja na tahadhari.

kitabu hiki kimesheheni elimu juu ya maswala ya afya hususan yote yahusianayo na vyakula pamoja na matunda na vinywaji. Afya ya uzazi pamoja na macho, damu, na maradhi ya uzeeni kama kidhoofu kwa akili na kifupa.


 

What people are saying - Write a review

We haven't found any reviews in the usual places.

Common terms and phrases

About the author (2019)

 Rajabu Athuman, ni Mwalimu aliyepata shahada ya uwalimu kutoka Chuo Kikuu Cha dar es salaam (University Of Dar Es salaam). Ameanza kuandika post ndogondogo kwenye mitandao ya kijamii na sasa ameanza kuandika vijitabu vidogovidogo kama hiki ulicho nacho.

Kazi kama hizi na nyinginezo kutoka kwa Mwalimu Rajabu Athuman unaweza kuzipata kwenye tovuti yake inayofahamika kama bongoclass.com. Pia unaweza kupata kazi hizi na nyinginezo kupitia mitandao ya kijamii.


Bibliographic information