KITABU CHA DUA 120: Kitabu cha dua sehemu ya pili.

Front Cover
Rajabu Athuman, 2019 M02 24

 Huu ni mwendelezo wa kitabu chetu cha Dua. Na hapa tutakuletea baadhi ya dua fupi ambazo tunatakiwa kuzifahamu na kuzitumia katika maisha ya kila siku.

Kitabu hiki kimekusanya zaidi ya dua 120, kwa lugha ya kiswahili na maana zao na kuonesha wapi zitumike na fida gani inapatikana kwa kufanya hivyo.

 

What people are saying - Write a review

We haven't found any reviews in the usual places.

Other editions - View all

Common terms and phrases

About the author (2019)

 Kitabu hiki kimeandikwa na Al-Ustadhi Rajabu Athuman kutokea pangani Tanga.

Bibliographic information