Kitabu cha Dua: Dua

Front Cover
Rajabu Athuman, 2019 M01 19 - 18 pages

Hiki ni kitabu kinachotoa mafundisho ya Dua. Mtume Muhammad s.a.w amesisitiza sana kuomba dua mpaka akasema kuwa "ambaye hamuombu dua Allah, (Mwenyezimungu )humchukia mtu huyo".

Kwa pamoja tumekuleteeni kitabu hiki kilichosheheni mafunzo ya dua kama vile ambavyo Mtume s.a.w amefundisha. Tumeandika kitabu hiki kwa ajili ya kutaraji radhi za Allah na si vinginevyo. Kitabu hiki hakiuzwi bali kinatilewa bure na ni ruhusa kukisambaza.

 

What people are saying - Write a review

We haven't found any reviews in the usual places.

Other editions - View all

Common terms and phrases

About the author (2019)

Al-Rajabu Rajabu Athumani ni mzaliwa wa mjini Pangani na hapo amepata elimu yake. Ameanza kazi ya dawa toka akiwa anasoma na amewahi kushikilia nyadhifa mbalimbali kwenye dini kama kuwa kiongozi wa vikundi vya dini mashuleni na vyuoni.

Amewahi kuwa Amiri wa jumuiya ya waislamu Chuo kikuu cha Dar es salaamu tawi la duce mwaka 2014-2017. Na sasa ameamuwa kuandika makala ndogo ndogo kwa ajili ya kutanabahisha ummah.

Makala hizi haziuzwi ni kwa ajili ya sadaka kwa wote wanaopenda kusoma makala hizi za dini. Zipo makala nyingi ambazo unaweza kuzipata mitandaoni hususani kwenye tovuti yake iitwayo bongoclass.com.

"Tunatarajia radhi za Allah kwa kuelimisha watu kupitia makala hizi"

Bibliographic information