Vituko dunianiLongman, 1970 - 43 pages |
From inside the book
Results 1-3 of 17
Page 1
... zake wakati alipoinua macho juu na kuona watu wamesimama mbele yake , mmojawao akimwelekezea bastola . Yusufu akashtuka sana , moyo ukaanza kumdunda dunda , akili zikamduru ; akawaza , " Hawa watu siwajui nao ni wageni hapa ; kwa nini ...

Page 17
... zake au babu na babu zake walivyopambana na vioja vya mashetani na kuweza kuepuka salama . Pia , kwetu matamko kama zimwi , jini , pepo , milihoi na chunusi ni maneno ya kawaida hata kwa watoto walio na umri wa miaka saba tu . Wazo la ...

Page 38
... zake kwa manufaa ya kila mtu binafsi . Binti huyo alipogundua jambo hilo , alikwenda nyumbani kwao na kuwakaripia ndugu zake akisema walikuwa wakitupa tupa mali ovyo . Kwa manufaa yake mwenyewe , Ruth akawachagua ng'ombe arobaini na ...

Other editions - View all
Common terms and phrases
Afrika ya Mashariki Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona heri akasema akasikia alianza aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye atakuwa baba bahati bali barazani barua bastola Bi mkongwe biashara chache chochote dada dereva fisi gari ghafla giza hakujali halafu haraka huku ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho jembamba Jinamizi jinsi jitokeze John joka Nondo Joyce Jumamosi Kamene kamwe kijana kikutani kile kikuta Kioko kisha Kisimba Korogwe kuanza kufikiri kuingia ndani kumweleza kwakuwa kwenda Kyalo lile Longman macho magaidi maiti makachero Makevo mali mara mbele Mbeya mbio mchumba mfalme wa Wanyakyusa mganga mikono mjini mkongwe mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini motokaa moyoni mwake mpenzi mpenziwe mradi msichana mtoto mtungi Mwana hamrithi babaye Mwanza Naam Nairobi naye Nondo nyumbani kwao P.O. Box pombe Pongwe punde radi Ruth alikuwa Sadik sauti shujaa starehe tano tatu tetesi tochi upelelezi usiku wageni wala wasi wasi Wayua wazee yoyote Yusufu zake zile