From inside the book
Results 1-3 of 3
Page 21
Tena nikaingiwa na hamu ya kutaka kuwasha tochi yangu lakini nikajionya
nisifanye jambo hilo . Mara nikajitia ushujaa wa kutoa sauti na kuuliza , “ Wewe
ni nani ? " Kwa haraka nikajibiwa , “ Na wewe ni nani ? ” Pasi na kusita sita
nikajibu ...

Page 38
Ruth : Oh ! Ni wewe Ben , karibu , ingia ndani ukae . Akaupokea ule mzigo na
kuupeleka chumbani . Ruth : Ben pole kwa safari . Nani aliyekuonyesha nyumba
? Ben : Asante mpenzi nimeisha poa . Nalipofika mjini nalimwuliza Bwana Seth ...

Page
Dada , wewe ni mkaaji wa hapa hapa mjini , mbona hata siku moja sijakuona ? ”
Ruth akamjibu , “ Mimi ni mgeni , nimetoka bara . Nimekuja hapa kutoka
Kipembawe na nafanya kazi ya Maendeleo ya Wanawake . ” Akazidi kumweleza
juu ya ...

What people are saying - Write a review
We haven't found any reviews in the usual places.
Contents
Mbio za Sakafuni | 1 |
Mwana Hamrithi Babaye | 12 |
Kisimba Shujaa | 23 |
Copyright | |
1 other sections not shown
Other editions - View all
Common terms and phrases
Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona akawa akiwa alianza alikuwa aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye asubuhi atakuwa baba bado bahati bali barazani barua biashara binti chache dada dereva fisi gari ghafla giza halafu haraka heri hofu huku huyo huyu ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho Jinamizi jinsi John joka Nondo kabla Kamene kamwe karibu kati kiasi kijana kikuta kile kimya Kioko kisha Kisimba kuanza kuelekea kufikiri kuingia kumi kumwoa kuona kupiga kusikia kwakuwa kwani kwenda lile Longman macho magaidi maisha mali mama mara mbele mbio mfalme mganga mikono mjini mkongwe mkubwa mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini moyo moyoni mpenzi msichana mtoto mwake Mwana mwenye mwenyewe mwingine mwisho Naam Nairobi naye ndani ndiye nguvu Nondo nyuma nyumbani nzima pale pombe Pongwe punde Ruth Sadik safari sauti tangu tayari upande upelelezi usiku wageni wala wangu wasi wasi wawili Wayua wazee wewe yale yoyote Yusufu zake