From inside the book
Results 1-3 of 7
Page 35
Siku hiyo pia itakuwa ni siku ambayo sisi wawili mliotuteua tutaanza kuishi ndani ya nyumba hiyo mpya . ' Baada ya waadhi huo , watu wakatawanyika na kwenda majumbani mwao kila mmoja akiwa na moyo wa furaha tayari kuanza kushirikiana ...

Page 37
Kwa hiyo , baba yake alikuwa na nafasi hata ikambidi kuoa wake kumi na wawili . Pia hakukosa kumtimizia bintiye mahitaji yote yaliyohusu elimu maana alijua kwamba yeye ndiye atakaye watunza nduguze baada ya mama yake kufariki .

Page 41
John alikunja uso na kumwambia , “ Nasikitika nalikuwa sijakueleza kwamba nimeoa na nina watoto wawili ; kwa hivyo itakuwa vigumu kufuatana nawe huko . ” Ruth alibaki akilia , lakini wapii ! ' Maji yakimwagika hayazoleki !

What people are saying - Write a review
We haven't found any reviews in the usual places.
Contents
Mbio za Sakafuni | 1 |
Ajuta Majuto ya Mjukuu | 2 |
Mwana Hamrithi Babaye | 12 |
Copyright | |
5 other sections not shown
Other editions - View all
Common terms and phrases
Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona akawa akiwa alianza alikuwa aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye askari asubuhi atakuwa baba bado bahati bali barazani barua biashara binti chache dada dereva fisi gari ghafla giza halafu haraka heri hofu huku huyo huyu ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho Jinamizi jinsi John joka Nondo kabla Kamene kamwe karibu kati kiasi kijana kikuta kile kimya Kioko kisha Kisimba kuanza kuelekea kufikiri kuingia kumi kuona kupiga kusikia kwakuwa kwani kwenda lile Longman macho magaidi maisha mali mama mara mbele mbio mfalme mganga mikono mjini mkongwe mkubwa mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini moyo moyoni mpenzi msichana mtoto mwake Mwana mwenye mwenyewe mwingine mwisho Naam Nairobi naye ndani ndipo ndiye nguvu Nondo nyuma nyumbani pale pombe Pongwe punde Ruth Sadik safari sauti tangu tayari upande upelelezi usiku wageni wala wangu wasi wasi wawili Wayua wazee wewe yale yoyote Yusufu zake