From inside the book
Results 1-3 of 8
Page 19
Nalipoikaribia ile nyumba , nalidhani kwamba yale mawimbi makubwa makubwa
yalikuwa yakinguruma zaidi siku ile kuliko ilivyokuwa desturi yake . Nalishikwa
na hofu . Moyo wangu ukaanza kunidunda na kiwiliwili changu kikahisi baridi .

Page 31
... fisi jinsi wanavyobeba mizoga yao , kuwauma mgongoni karibu na figo ,
nikajifunga matambara kuuzunguka mgongo wangu wote na kisha nikaifunga
simi yangu na kuacha mpini wake utokeze kidogo karibu na mkono wangu wa
kuume .

Page 36
Mashtaka yalipofika mbele ya wazee , Jinamizi aliulizwa juu ya yale mashtaka
akajibu , “ Wahashamu , wazee wangu , nimemshtaki huyu bwana kwa kuwa
nina uhakika kwamba yeye amekusudia kuja kuninyang ' anya yule mpenzi
wangu ...

What people are saying - Write a review
We haven't found any reviews in the usual places.
Contents
Mbio za Sakafuni | 1 |
Mwana Hamrithi Babaye | 12 |
Kisimba Shujaa | 23 |
Copyright | |
1 other sections not shown
Other editions - View all
Common terms and phrases
Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona akawa akiwa alianza alikuwa aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye asubuhi atakuwa baba bado bahati bali barazani barua biashara binti chache dada dereva fisi gari ghafla giza halafu haraka heri hofu huku huyo huyu ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho Jinamizi jinsi John joka Nondo kabla Kamene kamwe karibu kati kiasi kijana kikuta kile kimya Kioko kisha Kisimba kuanza kuelekea kufikiri kuingia kumi kumwoa kuona kupiga kusikia kwakuwa kwani kwenda lile Longman macho magaidi maisha mali mama mara mbele mbio mfalme mganga mikono mjini mkongwe mkubwa mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini moyo moyoni mpenzi msichana mtoto mwake Mwana mwenye mwenyewe mwingine mwisho Naam Nairobi naye ndani ndiye nguvu Nondo nyuma nyumbani nzima pale pombe Pongwe punde Ruth Sadik safari sauti tangu tayari upande upelelezi usiku wageni wala wangu wasi wasi wawili Wayua wazee wewe yale yoyote Yusufu zake