From inside the book
Results 1-3 of 8
Page 19
Moyo wangu ukaanza kunidunda na kiwiliwili changu kikahisi baridi . Nalipotanabahi nalifikiri wazi kwamba ikiwa mambo haya ni kweli , viumbe hivi vya miujiza ni hiari yao leo kunidhuru au kunihurumia . Lakini nalijikaza kisabuni mpaka ...

Page 31
... waona fisi jinsi wanavyobeba mizoga yao , kuwauma mgongoni karibu na figo , nikajifunga matambara kuuzunguka mgongo wangu wote na kisha nikaifunga simi yangu na kuacha mpini wake utokeze kidogo karibu na mkono wangu wa kuume .

Page 36
Mashtaka yalipofika mbele ya wazee , Jinamizi aliulizwa juu ya yale mashtaka akajibu , “ Wahashamu , wazee wangu , nimemshtaki huyu bwana kwa kuwa nina uhakika kwamba yeye amekusudia kuja kuninyang'anya yule mpenzi wangu ninayekaa naye ...

What people are saying - Write a review
We haven't found any reviews in the usual places.
Contents
Mbio za Sakafuni | 1 |
Ajuta Majuto ya Mjukuu | 2 |
Mwana Hamrithi Babaye | 12 |
Copyright | |
5 other sections not shown
Other editions - View all
Common terms and phrases
Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona akawa akiwa alianza alikuwa aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye askari asubuhi atakuwa baba bado bahati bali barazani barua biashara binti chache dada dereva fisi gari ghafla giza halafu haraka heri hofu huku huyo huyu ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho Jinamizi jinsi John joka Nondo kabla Kamene kamwe karibu kati kiasi kijana kikuta kile kimya Kioko kisha Kisimba kuanza kuelekea kufikiri kuingia kumi kuona kupiga kusikia kwakuwa kwani kwenda lile Longman macho magaidi maisha mali mama mara mbele mbio mfalme mganga mikono mjini mkongwe mkubwa mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini moyo moyoni mpenzi msichana mtoto mwake Mwana mwenye mwenyewe mwingine mwisho Naam Nairobi naye ndani ndipo ndiye nguvu Nondo nyuma nyumbani pale pombe Pongwe punde Ruth Sadik safari sauti tangu tayari upande upelelezi usiku wageni wala wangu wasi wasi wawili Wayua wazee wewe yale yoyote Yusufu zake